Kai angekuwa hivo unavyodai asingecheza na kupata nafasi ,
Wewe kubali labda uelewa wako mdogo tu, usitake kulazimisha kuwa Kai Ni mchezaji wa ovyo
Hajafanya vzr Sana ,lakin tayari ameshaanza ku click
Halafu unataja majina tu Kova ,amefanya Nini hapo mancity
Kama hujui kwanini Arteta alitoa €65m kwa Kai hutajua Tena
Hao unaowataja wangeweza kukusaidia kutumika LCM,RCM na CF?
Mpaka msimu huu bado hatukuwa na proper RCM wakumsaidia Øde ,amejaribiwa Vieira kaonekana anafit zaidi LCM, Smith Rowe angalau alionekana anapaweza ,ila injury
Yaani thamani kwanza Ni kiraka ,wewe unakomaa tu Ni no.8