BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Mabundi tumeweka kambi hapa siku ya leo, tupo na nyie mpk siku inaisha.View attachment 2807869





Basi mtalala mapema sana leoMabundi tumeweka kambi hapa siku ya leo, tupo na nyie mpk siku inaisha.View attachment 2807869





Basi mtalala mapema sana leoNdiyo hivyo. Kuwe na fairness kila mahali ili watu waenjoy mpira, bila kujali ni timu gani. Sisi tumeonewa zaidi ya wengi, ila kinachotuokoa ni mara nyingi tunaupiga mwingi na kushinda licha ya dhulma. Ila hatuwezi kushinda licha ya dhulma kila wakati 😃😃Ishu ni kwamba hakuna ambae hajawahi kuonewa na VAR na pia hakuna ambaye hajawahi kutofaidika na maamuzi ya VAR, kumbuka wakat unafaidika kuna ambao waliumia pia. Kama unavyosema kuwe na fairness kw wote mana kuhujumiwa kunauma asikwambie mtu.
Mnafikiri mnacheza na Shieffild.Basi mtalala mapema sana leo
Tunaisogelea raundi ya pili leo mapema sana🤠🤠Mnafikiri mnacheza na Shieffild.
Hatutaki lawama badae kw VAR, Jorgihno wala Lord KAI. hao ndio ng'ombe wenu wa kafara.Tunaisogelea raundi ya pili leo mapema sana🤠🤠


nategemea game ngumu kuliko ya awaliDepth ya kikosi bado ni kipengele kwa Arsenal
Leo Huko mbele magoal sijui itakuaje![]()
Chelsea's best player they said...Huyu kaisasa ndio kafanya nini hapa ndani ya box.
![]()
Kiikweli jamaa anazingua.Chelsea's best player they said...
#afc