Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Sema nini TOT wamearibu michezo yao peke yao. Wanatumia nguvu kuliko akili. Wanacheza rafu za kijinga sizo na maana sasa imewakosti.
 
Apo juu ya msimamo kunaendeleaje


Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Unajua nini, hawa takataka hamuna kiwasaidia inabidi wapambane wenyewe hawa chodomo domo fc😂😂😂😂
 
Umeandika upuuzi,

PENDA MPIRA,USIENDESHWE NA CHUKI NA VISASI
 
Mpuuzi,upuuzwe
 
HUNA AKILI
 
Sema nini TOT wamearibu michezo yao peke yao. Wanatumia nguvu kuliko akili. Wanacheza rafu za kijinga sizo na maana sasa imewakosti.
Kuna timu pale ligi kuu Wana wachezaji wanacheza kihuni sana halafu Wana kaukorofi ndani Yao🤠🤠...Sasa ni suala la muda tu watadakwa mmoja baada ya mwingine....mfano mzuri leo saa nne usiku kuna mtu atadakwa kooni🤠🤠
 

nani huyo?
 
Mkuu Castr nimeutafuta ule uzi wake wa baadhi ya matukio ya kutisha yaliwahi kufanywa na watu sijafanikiwa kuupata naomba nisaidie link aise.
 
Nyi wahuni, fakers, false hope fc, Man city wannabe n.k
Njoeni muone jinsi ya ku-overload kiungo wanavyofanya Dortmund
 
Nyie kondoo mmesikia Wako Jacko ana Hattrick huko, huyo Jesus wenu anazo ngapi msimu huu? kutwa kuzurura wodini. hattrick ataisikia kwnye bomba


Msisahau kumshtaki kipara kwa kuwauzia gari la mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…