Kama tulivotarajia wagen waalikwa hapo awali tulijua mgonjwa ana hali mby na leo ilikua lzm afe kwa namna yoyote ile.
Ningewashangaa sana Newcastle kama Taasisi wafungwe na hawa Arsenal wenye midfielder ya kina Jorginho na Kai.. Na wakina Nketiah kiukwl ningeshangaa sana.
Ndg wagen waalikwa ukitaka ujue dunian tunatofautiana uwezo wa kufikir bas nipende kuwaambia kua kuna mashabik wa Gunners wanaamin msimu huu eti Arsenal itabadilika kua team ya makombe serious
ama kwl tunatofautiana sana kwny uwezo wa kung'amua mambo.
Khs mazishi tumekubaliana kutokana na marehemu kua na mdomo tutafukia hrk hrk kila mtu akaendelee na shughuli zake za msing.. Ahsanteni kwa Kuja.
Mkuu nakuomba sana...nyamaza tu shetani apite...huu ni mpira tu Haina haja ya kujichumia madhambi yasio na sababu kwa kutukanana na mtu ambaye hata hamjuani...kausha tu...siku itapita