Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,827
- 75,495
Kapten wa nyumbu anachekesha ndiyo maana Roy Keane aliongea ya moyoni
Hahahahah dah ila bora tungetumia hiyo pesa kusajili sub ya Saka!!Wazee leo Kai anaanza kuwin mipira ya juu
Fulham wamechoma hawaMtangazaji anasema nyumbu watumie mechi ya Luton, coppenhagen na hii kujipima kama kuna sehemu wanaenda
Yeah, walikua hawana rhythm pia. Na bado united kastruggleFulham wamechoma hawa
Friends of THE MAGPIES tupo hapa tumeweka kambi tunasubiria muda wa matusi ufike.Yaani Tomiyasu kapata goli kwenye ligi kabla ya Hojlund
Mnasubiri kuleta vayolence humuWe have won our game. Sasa Newcastle uwanja ni yenu. Please give us a late night entertainment.View attachment 2803793




.


️
15 games
️ 54 goals scored
️ 14 goals conceded
Top of Bundesliga
Top of Europa League group