Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,108
- 3,194
Nionyeshe kikosi kilichopigwa UEFa
Ushaanza kuandika kishabiki.
Sisi tulimkosa Guimaraes akaja kwenu kwa ajili ya nini? Isak akaja kwenu badala ya Arsenal kwa ajili ya nini?
Endelea na watu wengine wanaotaka miyeyusho
Unamalizana kabisa sio. Ila hizi spana ni nzito sananamuona masingeli hamis77 anapita kimya kimya anatamani ajibu mashambulizi
Unakumbuka mashabiki wa Dortmund chant yao siku ile?Hana cha kuwaambia wafuasi wake acha hili jukwaa tulitawale sisi kwa spana mwanzo mwisho.
Jana hio mashabiki wa westham wana chants kuhusu rice “SIGN FOR A BIG CLUB, SIGNED FOR A BIG CLUB , YOU SHOULD HAVE SIGNED FOR A BIG CLUB“
Hii ni Head To Head ya Arsenal na Nyukesto ila wewe bwana shamba unaamini tukikufunga tutakua tumekubahatisha? 😂😂😂😂wanaweza wakanibahatisha hawa halafu nikakosa cha kusema acha tuwape vyuma kidonda bado cha moto hiki.
Kai na Arteta itakua wanapakuana si bure kuna kitu.
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3Hana cha kuwaambia wafuasi wake acha hili jukwaa tulitawale sisi kwa spana mwanzo mwisho.
Jana hio mashabiki wa westham wana chants kuhusu rice “SIGN FOR A BIG CLUB, SIGNED FOR A BIG CLUB , YOU SHOULD HAVE SIGNED FOR A BIG CLUB“
Tulia maneno mengi wakati msimu huu hujachukua chochote na kuna uwezekano ukatoka patupu..H2H gani unnaleta hivi unajua hii Newcastle ndo ilisababisha arteta sauti ikaukeee au umesahau?? Katika game 3 za mwisho Arsenal kashinda 1 , Newcastle 1 na draw moja sasa wewe unajichagulia head 2 head zako.
Mechi rahisi spurs,city,man u,chelsea we unasema mechi rahisi zipi hizo ? Uko sawa kwenye akili yako kweli?Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3
Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda
Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa
Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3
Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda
Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa
Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe. Maana yake tunategemea akicheza na team kubwa ataendelea kudondosha point nyingi zaidi kwa trend hii
Tulia maneno mengi wakati msimu huu hujachukua chochote na kuna uwezekano ukatoka patupu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tuna FA community shield msimu huu wewe unayo? Hiyo carabao una hakika utamtoa chelsea na liverpool punguza maneno bro...Uwezekano wa mimi kutoka patupu na wewe kutoka patupu upi ni mkubwa ? Kwanini wewe umeshinda kombe gani au emirates cup.
Unaongelea Newcastle iliyopo 1/4 ya carabao wewe upo wapi?? Na hapo katoka man city na man utd wewe umepewa westham ukafa pakiti nzima.
Hii comment nitaijibu J mosi baada ya game yenu. Sasa hivi huwezi kuyaelewa hayo madiniMechi rahisi spurs,city,man u,chelsea we unasema mechi rahisi zipi hizo ? Uko sawa kwenye akili yako kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo wako una fangasi sio bureIla hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3
Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda
Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa
Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe. Maana yake tunategemea akicheza na team kubwa ataendelea kudondosha point nyingi zaidi kwa trend hii
Ukiangalia kwa jicho la kishabiki huwezi kuelewaUbongo wako una fangasi sio bure
Sisi tuna FA community shield msimu huu wewe unayo? Hiyo carabao una hakika utamtoa chelsea na liverpool punguza maneno bro...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mtabeba mojawapo 😂😂 si tulikubaliana tuna kikosi kipana cha kuwania makombe yote mmeanza kupunguza idadi😂😂kulibeba....yamebaki matatu tutabeba mojawapo🤠🤠🤠
Muda utasema ukitolewa sijui utasemajeCommunity shield ni kombe, sasa kashatoka man utd, man city still unauliza kama tutamtoa chelsea. Maneno mnayo nyinyi huku wazee wa position play and overlapping