Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Hela zipi mkuu
? Pesa mnazo nyinyi rice paun 100, haivertz 60 tena with huge salaries, howe hawezi ila Arteta anaweza tusubiri muda ni jibu sahihi.

Kama hawa ndo wachezaji wetu wa warm up sasa hao wenyewe wa kutupekeka huko si ni hatariii zaidiii maana hawa wachezaji wa warmup hakuna hata mchezaji mmoja wa arsenal hii ya kurusha jezi anaewafikia kwa vitu hivi vitatu @ SAVES &CLEAN SHEETS, ASSISTS na mwisho kabisa GOALS .
Kama yupo tuonyeshe kwa upande wa Goals scored hii Newcastle ya eddie howe pia imewazidi pamoja na ratiba ya kibabe iliyokuwa nayo.

Hamgombei carabao mnagombea nini au kuna arsenal mbili tofauti si jana tu arteta kasema carabao ni muhimu kama ligi au sizitakii mbichi hizi mpaka kufika may itakuwa bado tupo phase 4 makombe ni mpaka phase 7
 
Nyny mnaorefusha shingo Kila siku kwani mna nn....zaidi ya kurukaruka tu
 
Ana goli moja na katuweka pale nafasi ya 2...nyny mko ya ngapi mkuu

goli mmoja na assist ngapi ?? Nimekuonea huruma tu nimemchukua gordon ila bado kamzidi kila kitu si assist si goals. Nafasi ya 2 ukimaliza hio nafasi unapewa kombe gani still hio nafasi si yako subiri december muda wa kushikana mashati ndo utasema vizuriii hapa bado haujasema ila utasema tu huko MAY.

Striker wako mkali ana goli 1 kazidiwa kila kitu na striker butu wa Newcastle, alichomzidi wilson ni dakika za kucheza tu jesus kacheza dakika nyingi


Maneno kidogo data nyingi leta na zako za Gabriel ku overlapping & overloading : mpaka hapa unachakuongea nikakusikiliza kweliii au huo ujasiri unapata wapi mkuu.
 
Ushaanza kuandika kishabiki.

Sisi tulimkosa Guimaraes akaja kwenu kwa ajili ya nini? Isak akaja kwenu badala ya Arsenal kwa ajili ya nini?

Endelea na watu wengine wanaotaka miyeyusho
 
Hivi umesahau kuwa Arteta anachagua kikosi kwa kurusha jezi hewani na anayedaka ndio anayeingia uwanajani kuanza?
Mbona watu vigeugeu ninyi au mnataka abadilishe utaratibu wa kuchagua kikosi kipana alichonacho?
 
We jamaa una facts, saluti.
 
Nimekuuliza baada ya hayo yte mko nafasi ya ngapi...hutaki kujibu unakimbilia kuleta mapicha hmu na data za ajabu ajabu....baada ya Gordon kutupia mko nafasi ya ngapi...tukisema nyny bdo ni wadogo tuna maana kama hzi
 
Nimekuuliza baada ya hayo yte mko nafasi ya ngapi...hutaki kujibu unakimbilia kuleta mapicha hmu na data za ajabu ajabu....baada ya Gordon kutupia mko nafasi ya ngapi...tukisema nyny bdo ni wadogo tuna maana kama hzi
 
Huyo jesus mwenye mapaja mengi ana goli ngapi? Jipe hopes ni kawaida yenu nyinyi tena una bahati hayupo ungekula vinu vya kutosha hio jumamos
Wasamehe kidogo wapumue mkuu🙌😂 hizi spana unawapiga ni nzito mno. Makombora mengine yatunze kwa ajili ya J mosi ukishawabutua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…