Teh Hag bado yupo sana ana full support ya bodi labda Sir Jim asimhitaji baadae. Au ili afukuzwe maybe tuburuze mkia UCL na kwenye ligi tupotekee vipigo back to back kitu ambacho sioni kikitokea
Kuburuza mkia hamuwez ,ila kwa uchezaji ule ,hamtoboi top 7
Jana anasema KAMWE hawezi kucheza Kama Ajax ,sababu Hana wachezaji
Hii inaonesha ameshapagawa ,
Niliwahi waambia kule jukwaani kwenu 7hag hata apewe miaka 5 hataweza kucheza modern football sababu hawezi kuifundisha hasa kwa zile Ligi 5 Bora duniani.
Ni sawa na Professor Nabi umpeleke EPL utake acheze Kama ilivyokuwa Yanga , Ni ngumu sababu ya levels ,japo Kuna Baadhi wanafundisha mpira mzuri kwenye Ligi yoyote ,7hag hayupo Hilo kundi
Anadai Hana wachezaji,watu wanahoji maswali ,98% ya wachezaji anasajili Ni mahitaji yake sio ya bodi,
Pia alimnunua Onana ,mchezaji ambaye Ni suitable kwa Modern football,halafu Leo anasema KAMWE hataweza kucheza modern football,Hadi hapo unaona kocha wenu ameshapagawa ,anasubiri miujiza tu ,
Bora Basi angewadanganya kuwa atacheza Modern football mbeleni ,Yeye kasema kabisa NEVER hatacheza