Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ben white ;isingekuwa ni walker anavokiwasha namna ile pale city pamja na uzoefu alionao basi white.. southgate hatakiwi kumuacha nje ya kikosi.

ben white haimbwi arsenal ila namuona ni mchezaji mwenye uelewa mzuri wa namna timu inavocheza.
Na muita silence killer..jamaa hana sura ya wasiwasi...na ile styl yake ya kucheza na kipa naikubali sana
 
#COYG
IMG-20231027-WA0023.jpg
 
Bukayo Saka has come in 24th in this year’s Ballon d’Or rankings.

Martin Odegaard was 28th.
20231030_200643.jpg
20231030_200703.jpg
 
Huo muda sina, leo nlitaka nikuoneshe kuwa wewe ni juha afu huna unachojua. Nilishakwambia huwa sipotezi muda na nguvu kubishana na mjinga, sasa nataka nikuoneshe muda unamfunza vipi mjinga. Siwezi kuwa na obsession na wewe choko kwa kipi hasa, nakufunza next time uache uchoko. Yani unaandika km unajua afu hujui, leo nlitaka nikupe ushahidi wa ujinga wako
Hili boya castr kuna kipindi westham akiwa anacheza linanitag eti will Jr tukae tumuangalie Rice ubora wake, nikawa najiuliza huyu vipi, yani niache kufanya ishu za msingi nimuangalie Rice kukuridhisha we fala kisa eti tubishane.
Tulishasema mtu apigwe kutokana na uwezo wake, kama hujui upigwe tu, wanafki wa Arsenal kuisupport united wote kimya, yani upo serious unasema united ashinde dhidi ya City! Hujui mpira wewe? Au ndio miujiza ya kwenye bible?
Nilikua najiuliza mwanangu Will Jr siku hizi ameokoka mbona hili jukwaa kama limeanza kustaarabika.
Ila Will kwa Castr unamkosea sana, katika mashabiki wa Arsenal ninaowakubali Castr ni mmoja wao jamaa yuko very matured, hua tunataniana kimpira lakini sijawahi kumuona anaongea lugha za hovyohovyo humu ni mtu ambae anajiheshimu hata sisi mashabiki wa timu nyingine tunamheshimu sana.
Will Jr siku ukijisikia kuchachuka mtafute Masingeli ndio uende nae toe to toe maana na yeye uhuni anaujua, ila watu watakatifu wenye kaliba ya Castr ni kujitafutia laana tu na madhambi mbele za bwana.

#Arsenyo Kondoo
#Nketiah kiatu
#Kai Balon D'or
 
Wachezaji wa 28 hukoo,Halafu huwa mnajidanganya hakuna kikosi chenye wachezaji kama Arse888. Mkishinda vimechi viwili vitatu, mpk halland unaambiwa haingii kw Jesus, aisee nyie kondoo mmerogwa.
Endelea kuongea pumba ,mwaka huu mpaka muende nafasi ya 15 ili uache kuropoka humu jukwaa la Arsenal ya maziwa na asali

Pale ukengeni mchezaji gani anaweza kuingia hata Top 200 ya Ballon d'Or?

Arsenal tunawachezaji watatu most valuable duniani narudia Duniani

NOTE: CHELKENGE MSIMU HUU MTAGOMBEA KUSHUKA DARAJA
20231030_111252.jpg
 
Nilikua najiuliza mwanangu Will Jr siku hizi ameokoka mbona hili jukwaa kama limeanza kustaarabika.
Ila Will kwa Castr unamkosea sana, katika mashabiki wa Arsenal ninaowakubali Castr ni mmoja wao jamaa yuko very matured, hua tunataniana kimpira lakini sijawahi kumuona anaongea lugha za hovyohovyo humu ni mtu ambae anajiheshimu hata sisi mashabiki wa timu nyingine tunamheshimu sana.
Will Jr siku ukijisikia kuchachuka mtafute Masingeli ndio uende nae toe to toe maana na yeye uhuni anaujua, ila watu watakatifu wenye kaliba ya Castr ni kujitafutia laana tu na madhambi mbele za bwana.

#Arsenyo Kondoo
#Nketiah kiatu
#Kai Balon D'or
Oya Mimi kutukanana ngumu sana labda uvuke mipaka na Mara kadhaa huwa na ignore ,

Hata jukwaan kwenu nawacharura huwez kuta natukana

20231030_183937.jpg
 
Acha uongo, wapi alikufira?

Arsenal wenyewe walimwambia arudi ,hawezi kuitwa halafu anakaa benchi tu
Masingeli acha matusi basi, watu tunakemea matusi humu halafu wewe badala ya kusimamia nidhamu ndio unaanzisha matusi shame on you.
 
Masingeli acha matusi basi, watu tunakemea matusi humu halafu wewe badala ya kusimamia nidhamu ndio unaanzisha matusi shame on you.
Oya sijatukana ,umemskia anachosema Mkohoti ,eti Ben White Ni firauni, ndio nimemuuliza

Sisi Wana Arsenal tunajua White hapendi kuitwa halafu hapewi dk ,ndio maana aliondoka NT,

Sasa huyu Mkohoti inabidi ajibiwe Kama alivyokuja
 
Masingeli acha matusi basi, watu tunakemea matusi humu halafu wewe badala ya kusimamia nidhamu ndio unaanzisha matusi shame on you.
Umenisahau na mm mkuu😀😀😀...huwa nna ustaarabu sana ila napenda kubishana
 
Oya sijatukana ,umemskia anachosema Mkohoti ,eti Ben White Ni firauni, ndio nimemuuliza

Sisi Wana Arsenal tunajua White hapendi kuitwa halafu hapewi dk ,ndio maana aliondoka NT,

Sasa huyu Mkohoti inabidi ajibiwe Kama alivyokuja
Ungemuuliza kwanza ufirauni wa Ben ni upi?
Sasa wewe ndugu yangu moja kwa moja unaongea mineno ya ukakasi humu si bora hata ungetumia tafsida, mnatukwaza sana sisi watu wazima wenye heshima zetu.
 
Ungemuuliza kwanza ufirauni wa Ben ni ipi?
Sasa wewe ndugu yangu moja kwa moja unaongea mineno ya ukakasi humu si bora hata ungetumia tafsida, mnatukwaza sana sisi watu wazima wenye heshima zetu.
Haina haja ya kumuuliza ,sio Mara ya kwanza ,wapo watatu ,mwingine yupo hapo juu kashajitokeza

Ndio maana nimeenda direct kumuuliza Kama alifanyiwa huo ufirauni ,

Halafu wote Ni Chelsea fans ndio huwa wanasema hivo

So inabidi kwenda nao hivo hivo kiulalo ulalo huku tunasubiri washushwe daraja
 
Umenisahau na mm mkuu...huwa nna ustaarabu sana ila napenda kubishana
wewe ni mbishi haswaaa ila ubishi wako ni ule wa uchawa uliopitiliza kwa masingeli pamoja na utani wa jadi.
Kwenye majibizano ya wenyewe kwa wenyewe yale ya kutoleana maneno machafu na kuvunjiana heshima hua unajiweka mbali.
Mpira ni burudani(furaha) sasa pale unapoona burudani inageuka kua tafrani na karaha kwa matusi na dharau ni bora kukaa pembeni.
 
Ballon d'Or:

Bukayo Saka - 24th
Martin Odegaard - 28th

Yashin Trophy:

Aaron Ramsdale - 8th

Women’s Ballon d’Or:

Amanda Ilestedt - 15th
Katie McCabe - 22nd

#AFC #Arsenal #BallonDor   
 
Back
Top Bottom