Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao ndo maana Hamis anawashushia matusi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe Paroko nae hua anatukana?
Mbona anajinadi sana humu kua yeye ni mtakatifu?
Masingeli ukuje ujibu tuhuma humu toka kwa Arsenyau mwenzio.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe Paroko nae hua anatukana?
Mbona anajinadi sana humu kua yeye ni mtakatifu?
Masingeli ukuje ujibu tuhuma humu toka kwa Arsenyau mwenzio.
Wewe unanijua kitambo ,ukiona nimetukana kwanza umefika mbali pili ubinadamu umenishinda
 
[emoji599] Arsenal wanaweza kutathmini upya uhamisho wa winga wa Wolves Pedro Neto Januari kwa sababu ya wasiwasi juu ya majeruhi yake.

(Chanzo: Daily Express)
 
#NUFC are expected to be without the injured Sven Botman, Alexander Isak, Jacob Murphy, Harvey Barnes, Elliot Anderson and the banned Sandro Tonali for Arsenal’s visit on Saturday.

#NEWARS
 
Nijulisheni wazee...ina maana kina adidas, visit rwanda na sponsors wengine huwa wanatega eneo hili tu kwenye haya mabango? inaelekea kunegotiate sponsorship deals kuna mambo mengi. Unaweza kuta sponsor akitaka aweke logo kila zionekane bango zima, analipa zaidi. Hivyo wanajiset tu maeneo ya nyuma ya vichwa vya makocha, ambapo wanajua camera zitazoom. Naanza kuona kuwa suala la visibility kwenye hii biashara si mchezo mchezo, ni suala serious sana.

Inkedarsenal presser background_LI.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilikua najiuliza mwanangu Will Jr siku hizi ameokoka mbona hili jukwaa kama limeanza kustaarabika.
Ila Will kwa Castr unamkosea sana, katika mashabiki wa Arsenal ninaowakubali Castr ni mmoja wao jamaa yuko very matured, hua tunataniana kimpira lakini sijawahi kumuona anaongea lugha za hovyohovyo humu ni mtu ambae anajiheshimu hata sisi mashabiki wa timu nyingine tunamheshimu sana.
Will Jr siku ukijisikia kuchachuka mtafute Masingeli[emoji23][emoji23][emoji23] ndio uende nae toe to toe maana na yeye uhuni anaujua, ila watu watakatifu wenye kaliba ya Castr ni kujitafutia laana tu na madhambi mbele za bwana.

#Arsenyo Kondoo
#Nketiah kiatu
#Kai Balon D'or
Flano we jamaa mnafiki sana. wewe kila mwana arsenal anayegombana na mwenzake, asiyekubaliana na hamis77 au Aaron, asiyemkubali Kai na Arteta, wewe ndiyo mshikaji kwako. Kukiwa na amani humu wewe hutaki kabisa 😃😃

Halafu ilikuwaje mkapigwa 3 na mamacita? sisi marefa waliamua kuwabeba mamacita. walitunyima red card, tulipaswa kucheza na wachezaji 10 wa mamacita, ila bado tulikandamiza kila idara uwanjani na kuwapiga bao moja
 
Endelea kuongea pumba ,mwaka huu mpaka muende nafasi ya 15 ili uache kuropoka humu jukwaa la Arsenal ya maziwa na asali

Pale ukengeni mchezaji gani anaweza kuingia hata Top 200 ya Ballon d'Or?

Arsenal tunawachezaji watatu most valuable duniani narudia Duniani

NOTE: CHELKENGE MSIMU HUU MTAGOMBEA KUSHUKA DARAJA
View attachment 2798683
Tunajitahidi. Hapo kwa back 3, wangefanya iwe back 4 ili hapo kwa Dias aingie na Magwaya pia
 
Nijulisheni wazee...ina maana kina adidas, visit rwanda na sponsors wengine huwa wanatega eneo hili tu kwenye haya mabango? inaelekea kunegotiate sponsorship deals kuna mambo mengi. Unaweza kuta sponsor akitaka aweke logo kila zionekane bango zima, analipa zaidi. Hivyo wanajiset tu maeneo ya nyuma ya vichwa vya makocha, ambapo wanajua camera zitazoom. Naanza kuona kuwa suala la visibility kwenye hii biashara si mchezo mchezo, ni suala serious sana.

View attachment 2798870

Hao ndio wanatoa pesa nyingi

Mfano pale Emirates

Mabango ya Emirates,Adidas ndio yanaonekana Sana yakifuatiwa na Visit Rwanda

Kuna jedwari nimelikosa ungeona ,Wanaweka idadi Adidas ,Fly Emirates, Visit Rwanda wanaonekana Sana ,unakuta kwa mechi Adidas, Emirates na Visit Rwanda wanaonekana pale uwanjani Mara 10-15 ,wanafatiwa na wengine wadogo wadogo
 
Arteta is continuously trying to make #Arsenal more unpredictable.

Hivi mligundua Kuna muda Saka alikuwa anacheza LCM ,kule Right wing akamuacha Kai

Nadhani Arteta anataka kuendelea zaidi kuwa na versatility ya wachezaji kila eneo

We saw it again on Saturday with Saka continuously going into left eight and Havertz hugging the right touch line.

It was a smooth, planned switch, and Sheffield United were the perfect opponent to test it.
20231031_141122.jpg
 
#AFC | Chris Sutton on Eddie Nketiah letting Fabio Vieira take the penalty against Sheff Utd:

"Eddie Nketiah was happy with his hat-trick. Shearer and Wright want more, they want four, five or six. That’s the difference. That’s where Nketiah can improve."
20231029_111820.jpg
 
Flano we jamaa mnafiki sana. wewe kila mwana arsenal anayegombana na mwenzake, asiyekubaliana na hamis77 au Aaron, asiyemkubali Kai na Arteta, wewe ndiyo mshikaji kwako. Kukiwa na amani humu wewe hutaki kabisa 😃😃

Halafu ilikuwaje mkapigwa 3 na mamacita? sisi marefa waliamua kuwabeba mamacita. walitunyima red card, tulipaswa kucheza na wachezaji 10 wa mamacita, ila bado tulikandamiza kila idara uwanjani na kuwapiga bao moja
Halafu huwa ana maneno ya kukera kishenzi akisindikiza na picha ndani yake...ukiwa na moyo mdogo unaweza ukamtukana usipokuwa mvumilivu
 
Halafu huwa ana maneno ya kukera kishenzi akisindikiza na picha ndani yake...ukiwa na moyo mdogo unaweza ukamtukana usipokuwa mvumilivu
😃 😃 😃 kabisa yaani. Jamaa ni shabiki flani proper na yuko mature kichwani. anamix nzuri ya unafiki, uchochezi, mahaba ya timu yake na uelewa kuwa mpira ni burudani tu na yeye hajistress nao. Ila anajua namna ya kukera wenzie na usipokuwa makini na mvumilivu, unamtukana 😃😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom