Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaona Sasa unamuita mwenzio chawa kisa hakubaliani na mawazo yenu

Mimi Ni Paroko ,ukiona natukana umeeenda mbali Sana


Sasa huyo mkohoti huwa anasema Ben White aliondoka NT sababu Ni firauni ,sio Mara moja,mtu Kama huyo inabidi ajibiwe kiulaloulalo .

Mimi nashinda jukwaa la manjesta Sana ,huwez kuta natukana hata jukwaa Lao la Chelsea ,kwani nan asiyejua James wa Chelsea Ni shoga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli chawa sio tusi, chawa ni yule supporter kindakindaki wa mtu fulani.
Hakuna anaebisha kua wewe ni Paroko wa parokia ya Arsenyani ila pia mtu akikujia kihunihuni unaweza kwenda nae hivyohivyo kihunihuni, ila ndugu yangu Castr yuko very humble mnapomuingiza kwenye mabishano ya matusi ni kama kumuonea tu huyu mtu wa Mungu.
 
Kiongozi kwani hujui kama kikosi chenu hapo players zaidi ya watatu they are a little of to the side? I mean they are foofy, up to the knucke. Yaani they are backwards mechanic, they like to play in the dirty!!!!
Una ushahidi wa hizi allegations?
 
MARTIN ØDEGAARD THE SKIPPER

[emoji599]Ingawa hakucheza dhidi ya Sheffield United, nahodha Martin Ødegaard bado alizunguka Uwanja wa Emirates kuwashukuru mashabiki wa Arsenal kwa sapoti yao kwa timu nzima baada ya mchezo. Martin Ødegaard hajawahi kuwa nahodha mwenye mihemko

[emoji599]Akiwa uwanjani, Martin Ødegaard sio tu mfano wa kioo wa Mikel Arteta katika masuala ya mbinu, pia anachukua jukumu la kutia moyo wakati wowote wenzake wanapofanya makosa kuomba sapoti kutoka kwa mashabiki au kutosahau kuwashukuru mashabiki baada ya kila mchezo.

[emoji599]Martin Ødegaard daima anaonyesha tabia ya kuigwa mfano kupitia kila hatua kuanzia uwanja wa mazoezi hadi mechi za Arsenal na hata shughuli zake zote nje ya uwanja.

[emoji599]Mchezaji ambaye daima anaweka maslahi na taswira ya timu kwanza. Majeraha yamemfanya a struggle karibuni baada ya kurejea kutoka timu ya taifa, lakini nahodha wa Arsenal Sasa atarejea kwa nguvu zaidi.

20231031_123243.jpg
 
[emoji471] Ballon d'Or:

Bukayo Saka - 24th
Martin Odegaard - 28th

[emoji471] Yashin Trophy:

Aaron Ramsdale - 8th

[emoji471] Women’s Ballon d’Or:

Amanda Ilestedt - 15th
Katie McCabe - 22nd

#AFC #Arsenal #BallonDor   
Oya tuuzieni Odegaard na Martinelli
 
Here at London Colney for Mikel Arteta's press conference ahead of Arsenal's game against West Ham United in the Carabao Cup.

Updates from the manager to follow below:
[emoji117] football.london/arsenal-fc/fix…
20231031_124539.jpg
 
Mwandishi:Je, Rice atacheza?

Mikel:"Ana uwezekano. Anaweza kuhusika, itakuwa mara yake ya kwanza katika klabu yake ya zamani."
 
Mwandishi:Je utampumzisha Eddie au utaruhusu kuendeleza kucheza apate hamasa zaidi?

Mikel: "Vyote viwili, tunapaswa kufahamu. Hajaanza mechi nyingi kwenye Ligi Kuu. "Wachezaji wanapokuwa hivi, lazima watumiwe."
 
Mwandishi:Taarifa kuhusu kutokuwepo kwa Partey:

Mikel:"Nadhani atakuwa nje kwa wiki kadhaa. Sijui ni muda gani, ana miadi nyingine leo na madaktari."
 
Mwandishi:Vipi kuhusu Mawazo kuhusu Kombe la Carabao na mjadala unaohusu umuhimu wake.

Mikel "Ndio, ni muhimu sawa na Ligi Kuu. Nina hisia sawa akilini mwangu Kama ligi kuu
 
Mikel Arteta juu ya Gabriel Jesus atarejea lini. [emoji1054][emoji856]

...... kusema kweli sitaweka lolote kwa sababu nilifanya hivyo mara moja na nikakosea kabisa.

Tunahitaji kuwa waangalifu. Tayari anapambana . Anataka kurejea haraka iwezekanavyo.”
 
[emoji2788] “I think he will be out for weeks. I don’t know how long. It’s a big concern because when Thomas is fit and available we see the results and impact he has on the team.”

Mikel Arteta says Thomas Partey’s fitness is a concern. [emoji1110][emoji856]
 
[emoji2788] “It’s impossible to play with no niggles in football at this level when you have games every 3 days. It’s impossible. If you try to do that then you better stay in bed because I don’t know any players that are constantly perfect.”

Mikel Arteta on Martin Odegaard’s fitness.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom