Partey na Jorginho hawawez kutufikisha summer ?Kuanzia January Hadi may tutatafutana uchawi wenyewe kwa wenyewe
Hadi dakika hii tunamtegemea Rice, na itatokea game zingine atazidiwa
Hata kabla hajaja spurs jamaa alikuwa mzuri sana,ila ni vile inatokea kwenye mpira mchezaji mzuri sana anaishia timu za size ya kati,nakuambia hata man u wangemchukua maddison angewabadirisha sana sijajua kwa nini timu kubwa wanamuona wakawaida,ni mzungu anayejua mpiraMadders bonge la mchezaji, kabla hajaenda Spurs sikuwahi kumuelewa, but anytime soon i will take madders for odegaard.
Watatufikisha summer kwa tabu SanaPartey na Jorginho hawawez kutufikisha summer ?
Dirisha la January Ni gumu Sana , Mancity wanamtegemea rodri pekee hawana mbadala .
Kwa dirisha la January kupata DM wa uhakika ,CB na RW unahitaji £150m
Sio kweli kwamba Partey atakuwa injury kila siku ,atatusaidia mech kadhaa then Summer tuachane nae
Nimeona sehemu akitokea mteja wanamuuza January,Labda hapo ndio tunaweza kusajili backup yake
Sidhan Kama Kuna timu EPL ina DM wenye Kariba ya Partey Rice na Jorginho , na Elneny
Ndio maana naona January tukomae na RW na CB,
Sio kweli hatukupoteza ubingwa kwa kufungwa na city,tulipoteza ubingwa kwa timu ndogo kabisa ambazo tungeweza kuzimanage,ubingwa ulipotea kwa SOUTON,WEST HAM NA BRIGTHON,na kilochosababisha wala sio kuumia kwa saliba tu,ila ukweli ni kwamba kuchoka kwa saka na partey kulicost timu mwishoni,saka hakuwa na refresher upande wake,kwahiyo alikuwa anacheza hana energy hivi ndio vitu vilisababbisha tukashindwa kuimanage game pale AnfieldTungeshinda mechi zote mbili dhidi ya City tungekuwa mabingwa, tumeanza kulifanyia kazi hilo msimu huu.
Record yake ya injury inatishaHata kabla hajaja spurs jamaa alikuwa mzuri sana,ila ni vile inatokea kwenye mpira mchezaji mzuri sana anaishia timu za size ya kati,nakuambia hata man u wangemchukua maddison angewabadirisha sana sijajua kwa nini timu kubwa wanamuona wakawaida,ni mzungu anayejua mpira
Huyu dogo Bellingham anakiwasha balaa kule spain ,wabadilishe awe striker tu ,acheze tisa na 10 ,maana dogo ana akili ya kucheza na nyavu kuliko mastrikers wenyewe aisee .Nifuraha kuwaona wachezaji wetu watatu wapo kwenye most valuable players squadView attachment 2797754
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Unamkosea heshima ole gunar
Ten hag alifeli interview pale Spurs
Kilaza Darren Fletcher wa manjesta ndiye akampitisha pale manjesta
For the first time nilimkataa ETH Last season vs Arsenal pale OT wanatufunga 3-1 , kwa mpira wa ujanjaujanja halafu akasema Arsenal haistahili kuongoza Ligi ila manjesta,na ndio mechi niligundua Anthony wamepigwa japo alifunga
Msimu mzima alitembea na form ya Rashford ,ile ilikuwa kama Jambazi kutembea na hirizi siku ikipotea anadakwa ,ndicho kimetokea Rashford kurudi default settings,na ETH kaumbuka kumbe hakuwa na mbinu .
View attachment 2797578
Usimfananishe OGS na vitu vya ajabu ajabuName: Ten Hag
Hype: Klopp
Hair cut: Pep Gurdiola
Expectations: Sir Alex Ferguson
Attitude: Mourinho
Reality: Ole gunnar solskajar
Humu mimi silipwi naamini pia hakuna anayelipwa tunatumia MB zetu na muda wetu, tunatumia pesa zetu kuangalia mechi na kuja kuandika humu. Kwangu mimi humu ni sehemu nakuja kujua zaidi juu ya wachezaji na timu.
Tuzo zimepoteza sana mvuto I am sure hata leo hii viewers watakuwa wachache sana tofauti na miaka ya nyuma[emoji599][emoji599]| Ballon d'Or rankings, as per @goal:
1. Messi
2. Haaland
3. Mbappé
4. Vinicius Jr.
5: De Bruyne
6: Rodri
7: Gündogan
8: Osimhen
9: Julian Alvarez
10: Lewandowski
11: Bellingham
12: Bernardo Silva
13: Benzema
14: Kvaratskhelia
15: Lautaro
16: Saka
17: Emi Martinez
18: Ødegaard
19: Salah
20: Musiala
Na muita silence killer..jamaa hana sura ya wasiwasi...na ile styl yake ya kucheza na kipa naikubali sanaben white ;isingekuwa ni walker anavokiwasha namna ile pale city pamja na uzoefu alionao basi white.. southgate hatakiwi kumuacha nje ya kikosi.
ben white haimbwi arsenal ila namuona ni mchezaji mwenye uelewa mzuri wa namna timu inavocheza.