Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa kuna Uhusiano gani hapo? hivi hapo unaona kichwa chako kipo sawa kweli? hamna we jamaa kutakua na shida mahali
Huna hoja. Unakimbilia kutukana. Huna akili pia ndiyo maana hujui mchezaji muhimu anagewa treatment gani.
 
Tuna ile game dhidi ya Soton msimu uliopita.

Tunasuluhu nao 3 kwa 3

Ukiniuliza mimi nitasema magoli mawili ya Soton ni kazi ya Ramsdale.

At some point nahisi Arteta anakumbuka matukio kama hayo
Zee la simulizi, oya Mshawahi kusikia story teller kwenye mpira? This nigga defines the role.

Nigga mafile yako ninayo shazi. Ulitaka kuiaminisha dunia Arsenal inamuhitaji Renato Sanches
mtu aliyetuaminisha Locatelli ni mchezaji mbovu, afu Sijasahau ulivyotuaminisha Mudryk hawezi kucheza final ball
, oya your time will come. Tutakukumbusha tu.
 
Endelea kunifuatilia bob usichoke. Hifadhi mafile yangu kwenye kijiwe chako nifanye kua topic. Ukikaa na mke wako/ mume wako acha niwe mada kuu.

Usiku ukikosa usingizi, ingia JF search nyuzi zangu zisome. Ingia hili jukwaa endelea kutafuta mafile mengine.

Be obsessed with me, ukiona post yangu changamka kuiscreenshot, kuza obsession mtoto wako muite Castr.

Na siku ikifika ukishindwa kuvumilia tangaza mtaani kwenu kwamba kuna mwanaume mmoja humjui hata sura ila una mafile yake.
 
Dah ndugu hamis, the street wont forget!
nipo kwenye harakati za kumtafuta tactico story teller, nitampata tu.
 


We are family brothers, tusifike huku
 
Nimewacheki Leverkusen kipindi kimoja, wapo vizuri, kimbinu anaonekana yupo vizuri, japo simpi 100%sababu mpinzani wake ana madhaifu mengi.

Ila kale katoto florian writz ndio daima yupo vile au leo tu kaamka vizuri, kamechangamka, kanazunguka uwanja mzima, mguu ana ball, kasumbufu.
 
Ndo alivyo
 
Huyo dogo ni Fundi Sana,anaelekea Bayern huyo ,Musiala amegoma kusaini anataka aende Madrid


Florian anajua Sana alipata ACL akakaa miezi 8 nje ndio amerudi


Halafu Alonso anafundisha modern football,anaenda Madrid ,Don Carlo akienda Brazil NT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…