Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ila Masingeli una ujinga mwingi sana aiseeee ndugu yangu,
Msimu wa 2021 - 2022 ulikua unajitapa na kujivunia Clean sheets huku ukituzodoa Man Utd hatuna clean sheet yoyote, halafu mwisho wa msimu wote mwenye clean sheet nying na asie na clean sheet tukaenda kucheza Europa
Msimu uliosha ukawa unajitapa na unajivunia record ya kukaa top on the table kwa siku nyingi 258 mwisho wa msimu wewe uliekaa top on the table kwa siku 258 ukashika nafasi ya 2 halafu Man Utd ambao hatujawahi kukaa hata mara moja kwenye top on the table tukawa nafasi ya 3 halafu wote tumeenda Uefa.
Leo hii umeanza tena kuwapa wenzio false hope kwa rekodi ya unbeaten halafu mwisho wa msimu unawakimbia wenzio na kuwaachia msala wa kujibu maswali kuhusu imekuwaje unbeaten inamaliza ligi mikono mitupu
Inabidi sasa tuongee na bodi ya PL waanze kutoa na makombe ya Clean sheet, top on table, unbeaten, pressing & overloading pamoja na makombe ya kuwin aerial duel View attachment 2793389
Trust me na msimu huu wanatoka patupu, na msimu ujao kama kawaida atawashikia akili tena, na watajaa tena. Kiduara
 
Zinny ataweza kwenda LCM Kwa Xhaka kule

Me pia mara kadhaa nimewaza hili jambo especially kama Partey hayupo, Rice anarudi dimba la chini then Zinny aende LCM.

Namuona yuko lethal na kwa uzoefu wake kama defender atatupa more pressing advantage in case we loose possession.
 
Kabisa mkuu.
 
Mc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa?
 
Mc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa?
AKili za Hamis masingeli hizo.
 
Sema jamaa ana kipaji cha ushawishi. anakwambia Havertz anacheza mpira dunia ya sasa hakuna, wakati mi huwa namuona anarukaruka tu uwanjani. tulimshauri aanzishe kanisa.
Anaficha ukweli kuwa usajili wa Havert wamepigwa.

Anakwambia Havert ni mzee wa Aerial duel😄😄😄
 
Trust me na msimu huu wanatoka patupu, na msimu ujao kama kawaida atawashikia akili tena, na watajaa tena. Kiduara
Unahangaika na Arsenal duh

Wakati huo chelkenge hata ndoto zakuingia top 7 hauna

Unahangaika na timu ambayo ipo nafasi za juu

Tukisema mna matatizo ya akili tutakuwa tunaosea?
 
️ Understand Arsenal are planning talks with Amario Cozier-Duberry over a new deal in the next weeks/months as his contract will expire on 30th June 2024.

Discussions are currently ongoing.

Several Premier League & European clubs are interested, monitoring the situation.
20231026_172607.jpg
 
Anaficha ukweli kuwa usajili wa Havert wamepigwa.

Anakwambia Havert ni mzee wa Aerial duel😄😄😄
Pale wamepgwa mchana kweupe, ndio mana Arteta ameshashtuka amuanzishi. Ila masingeli atakwambia Havertz amechangia upatikanaji wa goli hata kama mpira umeshapita kw watu wanne kabla ya goli😂😂😂
 
Arsenal haven't lost a Premier League home game to a promoted side since November 2010 - a run of 36 games without defeat. (31 wins, 5 draws)

One of the teams who earned a point in that run was Sheffield United in January 2020.
 
Gabriel Jesus to undergo a scan today as Arsenal seek to learn the extent of his hamstring injury.

The Brazilian said after the game that he was confident the injury was nothing serious but he is a doubt for Saturday’s game. [@sr_collings] #afc
 
Unahangaika na Arsenal duh

Wakati huo chelkenge hata ndoto zakuingia top 7 hauna

Unahangaika na timu ambayo ipo nafasi za juu

Tukisema mna matatizo ya akili tutakuwa tunaosea?
Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
 
Seven Arsenal games have been moved during the festive period this year:

5/12 Luton (A) - 8:15, Amazon Prime.
9/12 Aston Villa (A) - 5:30, Sky Sports.
17/12 Brighton (H) - 2:00.
23/12 Liverpool (A) - 5:30, Sky Sports.
28/12 West Ham (H) - 8:15, Amazon Prime.
31/12 Fulham (A) - 2:00, Sky Sports.
20/1 Crystal Palace (H) - 12:30, TNT Sport.

#AFC #Arsenal #PremierLeague
 
Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
Usijilinganishe na Arsenal ,tayari Nina kikombe kabatini ,au hujui hilo

Wewe unagombea kushuka daraja ,hata kucheza conference huwezi kupata hiyo nafasi

Kwa ratiba yenu ilivo baada ya mechi 8 mtakuwa mnapambana na kina Luton Nani abaki kwenye Ligi

Nakushangaa unabwabwaja humu

Weekend hii tu ukijitahid sana Sare
20231010_144757.jpg
 
Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
Utamaliza juu ya Manunu ukijitutumua😀😀😀...tena ni nafasi ya 8....Huna uwezo wa kuishusha Nyukesto...Aston villa wala Brighton pale juu...sasa jumlisha na wale wanne wa juu pale...unapata saba...hzo nafasi 7 hugusi...ww ni 8 au 9 kabisa...unabisha...haka karatiba kenu katawapa majibu vzuri....mkijitahidi mtapata points 4 kwny hzo mechi....bdo mnajitafuta sana ndugu zetu....
 
Back
Top Bottom