Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usijilinganishe na Arsenal ,tayari Nina kikombe kabatini ,au hujui hilo

Wewe unagombea kushuka daraja ,hata kucheza conference huwezi kupata hiyo nafasi

Kwa ratiba yenu ilivo baada ya mechi 8 mtakuwa mnapambana na kina Luton Nani abaki kwenye Ligi

Nakushangaa unabwabwaja humu

Weekend hii tu ukijitahid sana Sare View attachment 2793780
Unajibishana na mtu ambaye kiwanja Chao cha nyumbani ni kama kiwanja chetu cha mazoezi...kila tukienda tunaondoka points...sasa hyo ni wa kupigizana naye kelele...bora Flano aje kujaza nzi hmu sio hyu
 
Mc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa
🎷🎷Masingeli wamempenda wenyewee
🎺🎺Acha awafunge kamba eeeeh
🎸🎸Ndii ndiiiii
 
Gabriel Jesus to undergo a scan today as Arsenal seek to learn the extent of his hamstring injury.

The Brazilian said after the game that he was confident the injury was nothing serious but he is a doubt for Saturday’s game. [@sr_collings] #afc
Huyu jamaa shida nini,tumuulize shemeji usikute bwana mdogo anaendekeza kuchovya saana.
Yale yale ya kelvin prince boateng
 
️ During Elneny FC trials, teammates Martinelli, Jorginho & Cedric showed up to support!

Over 100+ players turned up on one trial date in an attempt to get a spot in the club.
20231027_111120.jpg
 
Arsenal and Ben White have now agreed terms over a new long-term contract extension.

Final details are to be ironed out over the next couple of weeks before the defender will officially sign his new deal.

Another important bit of business done by the club. Great stuff.
20231027_111853.jpg
 
Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
BIG 6 inaundwa na klabu za Manchester United & City, Arsenal, Liverpool, Tottenham Hotspur na Chelsea

Arsenal kashacheza na tim nne za BIG 6 na hajapoteza mchezo dhid yao. Mechi ya BIG 6 imebaki ni Liverpool pekee ambaye ni mkombozi wenu wa pekee kuja kujaribu kumfunga Arsenal ambaye hajapoteza mchezo. Ikumbukwe, Arsenal ndio wababe pekee wanaoweza kucheza msimu mzima bila kufungwa na yoyote hapo Uingereza/ England UNABISHA? NAJUA UTADAKIA UEFA KANA KWAMBA EPL NI UEFA

Arsenal ndio 'mbishi' anayeweza kutoa 'visago' msimu wote na sehemu ya LOOSE ikabaki 0. Kama kuna 'kenge' anabisha aweke picha ya kombe la dhahabu likinyanyuliwa na klabu yake
Narejea, Arsenal ndio mwenye pumzi ya kukaza hivihivi bila kupoteza msimu mzima kwasababu yeye pekeake ndie kashafanya hii rekodi

Kingine, Man City hajacheza na Tottenham, Liverpool, Chelsea, Man Utd
Halafu Liverpool hajacheza na Arsenal, Man Utd, Man City, Chelsea
Pia Chelsea bado kuingiza marasta kukamia dhidi ya Man Utd, Man City, Tottenham, Liverpool
Manchester United nae hajacheza na Liverpool, Man City, Chelsea
Kwahiyo hamjacheza nyie kwa nyie hapo mtajuana wenyewe mkipenda mdroo/ mtoke sare au mmojawenu awe mteja

MTAJUA HAMJUI, WOTE MJE MHAMIE KWA MKOMBOZI WENU LIVERPOOL AWAFUTIE MACHUNGU KWA KUTOMFUNGA ARSENAL
 
Ila january inabidi tuingie sokoni
-Nikiangalie utitiri wa game za EPL tunaitaji backup kuendelea kupambana.
-Jesus Saka Partey ni watu muhimu, wakipata pancha ya muda mrefu inaweza tutoa kwenye reli na currently fitness yao sio ya uhakika.
-Tuna vimba sasa hivi sababu Almost key player wote wapo Available.
-Tunaitaji backup Toney na Nunez na mtu wa dimba mmoja.
 
Nunez yupi bro?
 
BIG 6 inaundwa na klabu za Manchester United & City, Arsenal, Liverpool, Tottenham Hotspur na Chelsea

Arsenal kashacheza na tim nne za BIG 6 na hajapoteza mchezo dhid yao. Mechi ya BIG 6 imebaki ni Liverpool pekee ambaye ni mkombozi wenu wa pekee kuja kujaribu kumfunga Arsenal ambaye hajapoteza mchezo. Ikumbukwe, Arsenal ndio wababe pekee wanaoweza kucheza msimu mzima bila kufungwa na yoyote hapo Uingereza/ England UNABISHA? NAJUA UTADAKIA UEFA KANA KWAMBA EPL NI UEFA

Arsenal ndio 'mbishi' anayeweza kutoa 'visago' msimu wote na sehemu ya LOOSE ikabaki 0. Kama kuna 'kenge' anabisha aweke picha ya kombe la dhahabu likinyanyuliwa na klabu yake
Narejea, Arsenal ndio mwenye pumzi ya kukaza hivihivi bila kupoteza msimu mzima kwasababu yeye pekeake ndie kashafanya hii rekodi

Kingine, Man City hajacheza na Tottenham, Liverpool, Chelsea, Man Utd
Halafu Liverpool hajacheza na Arsenal, Man Utd, Man City, Chelsea
Pia Chelsea bado kuingiza marasta kukamia dhidi ya Man Utd, Man City, Tottenham, Liverpool
Manchester United nae hajacheza na Liverpool, Man City, Chelsea
Kwahiyo hamjacheza nyie kwa nyie hapo mtajuana wenyewe mkipenda mdroo/ mtoke sare au mmojawenu awe mteja

MTAJUA HAMJUI, WOTE MJE MHAMIE KWA MKOMBOZI WENU LIVERPOOL AWAFUTIE MACHUNGU KWA KUTOMFUNGA ARSENAL
Umepiga kwenye mshono
Huwa wanajisahau Sana hizi kenge
 
Back
Top Bottom