[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Masingeli una ujinga mwingi sana aiseeee ndugu yangu,
Msimu wa 2021 - 2022 ulikua unajitapa na kujivunia Clean sheets huku ukituzodoa Man Utd hatuna clean sheet yoyote, halafu mwisho wa msimu wote mwenye clean sheet nying na asie na clean sheet tukaenda kucheza Europa[emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu uliosha ukawa unajitapa na unajivunia record ya kukaa top on the table kwa siku nyingi 258[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho wa msimu wewe uliekaa top on the table kwa siku 258 ukashika nafasi ya 2 halafu Man Utd ambao hatujawahi kukaa hata mara moja kwenye top on the table tukawa nafasi ya 3 halafu wote tumeenda Uefa.
Leo hii umeanza tena kuwapa wenzio false hope kwa rekodi ya unbeaten halafu mwisho wa msimu unawakimbia wenzio na kuwaachia msala wa kujibu maswali kuhusu imekuwaje unbeaten inamaliza ligi mikono mitupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi sasa tuongee na bodi ya PL waanze kutoa na makombe ya Clean sheet, top on table, unbeaten, pressing & overloading pamoja na makombe ya kuwin aerial duel [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2793389