Yule jamaa yetu wa Nyukesto anayetupigiaga kelele hmu...mwambieni mechi ijayo anaenda geto kwa washkaji hawahawa😀😀😀...kelele nyiiingiii...utadhani ana timu ya kueleweka..kumbe wafanya jogging tu....atamaliza hili kundi na Point 5....Newcastle 😁😁😁😁
Ila hii depth ni ndogo sana mkuu maana white au Saliba akiumia yatatukuta yale ya last season baada ya game ya sporting!!Zinny Ni kwa ajili ya mech za home zile za fungulia Busta
Tukishapata magoli tunataka kufunga duka ndio unamuona Tomiyasu akiingia
Lakini Kuna mechi hasa za mtoano tulijiandaa kwa combination hizi
White Saliba Magalhaes Timber
Timber Saliba Magalhaes Tomiyasu
Tomiyasu Saliba Magalhaes Timber
Itategemea na mechi na mpinzan ana hatari upande gani
January inabidi tusajili.Ila hii depth ni ndogo sana mkuu maana white au Saliba akiumia yatatukuta yale ya last season baada ya game ya sporting!!
Yah tunahitaji RCB mmoja na urejeo wa Timber itakuwa Kama usajili mpyaIla hii depth ni ndogo sana mkuu maana white au Saliba akiumia yatatukuta yale ya last season baada ya game ya sporting!!
Nakupa laana mtaishia 10-12Hii takataka naichukia kinoma.
Zinny Ni kwa ajili ya mech za home zile za fungulia Busta
Tukishapata magoli tunataka kufunga duka ndio unamuona Tomiyasu akiingia
Lakini Kuna mechi hasa za mtoano tulijiandaa kwa combination hizi
White Saliba Magalhaes Timber
Timber Saliba Magalhaes Tomiyasu
Tomiyasu Saliba Magalhaes Timber
Itategemea na mechi na mpinzan ana hatari upande gani



Hii timu mnajazana upepo kuanzia staff, players mpaka mashabiki.Gabriel Jesus has told his Arsenal team-mates to believe they can go all the way in the Champions League this year.
“Obviously it is not easy, but I think we have to believe. If we don’t believe, we cannot be here.”
View attachment 2793178
Kila team lazima wahimizane kupambana kupata matokeo bora sasa sijui wewe unapata wapi makasiriko,mbona hivyo vitu vya kawaida kwenye kila team. Of course uwezo tunao wa kupambana na kushinda.Hii timu mnajazana upepo kuanzia staff, players mpaka mashabiki.
Huyu atakuwa ni nyumbu fc au chelkenge....wana sumu ya Moyoni kwa sasa....wao wanaishi kwa history...utasikia mna uefa ngapi....mara mwaka jana mmeongoza kwa points 8 hamjachukua ndoo....sasa ni kwnda nao kimyakimya tu2😀😀😀....yule jamaa wa nyukesto yy ndo anaamini kabisa kwmba watafika mbali UEFA😄😄😄...akili za wapi sijui hziKila team lazima wahimizane kupambana kupata matokeo bora sasa sijui wewe unapata wapi makasiriko,mbona hivyo vitu vya kawaida kwenye kila team. Of course uwezo tunao wa kupambana na kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
MATUMAINI HEWA F. C


Nimeipenda hio nickname uliyowapa. Kula malimaoHii timu mnajazana upepo kuanzia staff, players mpaka mashabiki.
Nimekuona Clouds fm janaNimeipenda hio nickname uliyowapa.
Nahisi Arsenyo ndio timu inayoongoza kwa nicknames nyingi kuliko timu yoyote barani Ulaya. View attachment 2793256