Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuhusu Partey kutokwenda Spain. ,

Kuhusu injury nahisi Ni janja janja tu,ngoja tuone had jumamos tutajua ukweli
20231025_161010.jpg
 
Halafu bdo Timber yupo nje....akirudi kazi ipo...Zinchenko anaweza kutafutiwa pengine pa kucheza
Zinny Ni kwa ajili ya mech za home zile za fungulia Busta

Tukishapata magoli tunataka kufunga duka ndio unamuona Tomiyasu akiingia

Lakini Kuna mechi hasa za mtoano tulijiandaa kwa combination hizi

White Saliba Magalhaes Timber

Timber Saliba Magalhaes Tomiyasu

Tomiyasu Saliba Magalhaes Timber

Itategemea na mechi na mpinzan ana hatari upande gani
 
Tutafute LCM wauhakika Sasa ,Rice akamate DM

Nimeona tunaweza kumchukua Yousuff Fofana yule wa Monaco ,alikuwa Ni 2nd choice tukimkosa Rice

Alikuja na Monaco pre season alitupa mechi ngumu Sana na alitufunga

Ni no.6 mgumu sana ,tunaweza mpata bure mkataba wake unaisha

FOFANA as DM , Rice LCM

au tutafute LCM Kama Paqueta ,Rice DM
Me namtaka dogo Andre wa Brazil
 
Pasi sambusa kutoka kwa beki kitasa Gabriel ikamfikia Gabriel tena halafu ikapigwa bonge la Assist kwa Gabriel tena what a beautiful Goal

Wenzetu kule unyumbuni Ni papatupapatu haijulikani goli linapatikanaje
20231025_182200.jpg
 
Tutafute LCM wauhakika Sasa ,Rice akamate DM

Nimeona tunaweza kumchukua Yousuff Fofana yule wa Monaco ,alikuwa Ni 2nd choice tukimkosa Rice

Alikuja na Monaco pre season alitupa mechi ngumu Sana na alitufunga

Ni no.6 mgumu sana ,tunaweza mpata bure mkataba wake unaisha

FOFANA as DM , Rice LCM

au tutafute LCM Kama Paqueta ,Rice DM
Tubaki pale pale EPL

Paqueta
Doglas Luiz .
 
Back
Top Bottom