Signature yako imetulia...Mkuu naomba ubadili Avatar yako, nikiona hilo jina mimi napandwa hasira za kupitiliza!!!
Mkuu tuna 11 first team players missing ... kuumia na red cards .. .... .... .... ..... ...... ...... wakirudi ni different game, the season is long .... ... .
<br />Hii inaweza kumsaidia Wenger kufanya maamuzi haraka sana kabla ya jumatano sio mambo ya kusubiri mpaka last minute.
kwani SAF alitoa zile bahasha kwa huyu refa tena leo?................
kwani SAF alitoa zile bahasha kwa huyu refa tena leo?................
SAF atakuwa alitoa bahasha kwa wachezaji wa Arsenal waachie ziingie...
huyu kipa aseno anapenda kutema
Mkuu naomba ubadili Avatar yako, nikiona hilo jina mimi napandwa hasira za kupitiliza!!!