Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Masingeli kwa kile mlichokifanya msimu uliopita kwenye PL zimebaki mechi 8 ligi kuisha mnaongoza kwa points 8 halafu ligi inaisha mnakua mpo nyuma kwa points 8 ni bora tu ungenyamaza kwanza mpaka mfanikiwe kufuzu kwenye hatua ya makundi, hizo mechi 3 zilizobaki unaweza kufanyiwa Surprise halafu ukajipiga Ban mwenyewe kisha tukakosa kuburudika na comedy zako humu unazowapea false hopers wenzio. View attachment 2792233
Wale wababe wenu jana wamekula makonzi au hawajala??🤠🤠...suala la kuishia makundi sisi sahau...huo sio utamaduni wetu....unabisha angalia sasahivi msimamo wa group nani yupo pale juu...nyny Sasa ndo mnatafuta nafasi ya Ueropa maana Galatasaray na Bayern Munich ndo watafuzu kwny group Lenu....mechi za Nyumbani rahisi zishaisha....kilichobaki mkajegejwe huko ugenini
 
Mheshimiwa Mgeni rasmi huyo aliyelala hapo chini anaitwa Ivan Rakitic...Maniookooooo DECLAN £100m RICE

Tumewapa Westham United £100m tumepata wachezaji 2 ndani ya 1

£50m tumepata Kiungo Mkabaji

£50m nyingine tumesajili a number 8.

" Arsenal ni Moja ya team 2 au 3 Bora kwenye UEFA champions league msimu huu" Michael Owen

Sijui itakuwaje Lakini nitakuwepo this I WILL PROMISE YOU Babra

Mzee wa jambia
mzeewajambia-20231025-0001.jpg
 
Masingeli kwa kile mlichokifanya msimu uliopita kwenye PL zimebaki mechi 8 ligi kuisha mnaongoza kwa points 8 halafu ligi inaisha mnakua mpo nyuma kwa points 8 ni bora tu ungenyamaza kwanza mpaka mfanikiwe kufuzu kwenye hatua ya makundi, hizo mechi 3 zilizobaki unaweza kufanyiwa Surprise halafu ukajipiga Ban mwenyewe kisha tukakosa kuburudika na comedy zako humu unazowapea false hopers wenzio. View attachment 2792233
Tumewalipia kisasi
20231025_094909.jpg
 
Ulipaswa kumuuliza kama ni easy mpaka sasa hivi timu yake ina trophies ngapi za CL?
Ila Masingeli banaaaa sometimes hua nahisi huyu jamaa ni Haji Manara. View attachment 2792216
Kamuulize Michael Owen ,Jana karudia maneno yangu kuwa kwasasa UCL ,Arsenal Ni miongoni mwa timu 2 au 3 fovourite

Haya maneno nilisema kabla ya makundi

Sergio Ramos Jana kakutana na Arsenal kakubali ,wewe upo Tandale kwa tumbo unabisha tu ,wakati manjesta inahangaika Hadi kwa kina Copenhagen
Screenshot_20231025-123915_1.jpg
 
Wale wababe wenu jana wamekula makonzi au hawajala??...suala la kuishia makundi sisi sahau...huo sio utamaduni wetu....unabisha angalia sasahivi msimamo wa group nani yupo pale juu...nyny Sasa ndo mnatafuta nafasi ya Ueropa maana Galatasaray na Bayern Munich ndo watafuzu kwny group Lenu....mechi za Nyumbani rahisi zishaisha....kilichobaki mkajegejwe huko ugenini
angalieni tu Masingeli asije akawaliza tena kama alivyowaliza msimu ulioisha kisha akawatelekeza mkabaki peke yenu mnamuapiza na kumlaani kwa kuwaaminisha uongo
Natamani niweke screenshot za jinsi mlivyokua mnamuapiza Masingeli humu ila naogopa jukwaa litachafuka
Masingeli punguza kuwalisha nyama ya ulimi hawa misukule wako.
 
Masingeli hachezi uwanjani...arsenal ndo inacheza uwanjani na tunaona bolu linavyopigwa...hata kwa Manunu sio kwmba ww ndo unacheza ila kina Amurabati kipara ngoto ndo wanacheza na tunaona namna wanavyorukaruka....Sasa sisi ya kwetu tumeyamaliza jana kwa kuonesha mfano kwa Sevilla...tunasubiri j2 tuone mna kipi cha kuionesha Dunia ndugu zetu....ila binafsi ntakuwa upande wenu kwa dhati....ninyi ni ndugu zetu wa damu kabisa🤠🤠🤠
 
Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?

Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Ila RvP na Ade walikuwa wajinga sana hao jamaa against us.
 
angalieni tu Masingeli asije akawaliza tena kama alivyowaliza msimu ulioisha kisha akawatelekeza mkabaki peke yenu mnamuapiza na kumlaani kwa kuwaaminisha uongo
Natamani niweke screenshot za jinsi mlivyokua mnamuapiza Masingeli humu ila naogopa jukwaa litachafuka
Masingeli punguza kuwalisha nyama ya ulimi hawa misukule wako.
Wewe timu lako linaangamia ,
 
| Sergio Ramos following #SEVARS:

“In one against one we had chances to hurt them, knowing that Arsenal are a team that wants to play football, that leaves a lot of space on the line to take advantage of those losses that we sometimes found, but we did not capitalise well enough.

“I think that in the end we played face to face, both against Real Madrid and Arsenal. It is true that it is difficult not to see a difference before we played the teams that, for me, currently play the best in Europe.

“And playing face to face with this type of team and knowing that they create from the back and want to create by playing football from the goalkeeper’s kick, is not easy.” [via Metro] #afc
 
Gabriel Martinelli has scored on his debut in four different competitions for Arsenal, after his goal last night in the Champions League.

️ Premier League - December 2019
️ Europa League - October 2019
️ League Cup - September 2019
️ Champions League - October 2023

Not bad for a boy signed from the fourth division in Brazil. #afc
20231025_133021.jpg
 
Arteta:

"To come here and to restrict them and control the game like we’ve done and to generate the situation that we’ve generated.

I’m really happy. I really liked the determination and the courage that the team played in a stadium like this."
20231025_002115.jpg
 
Michael Owen on Arsenal:

"On ability, I think they're the second or third best team in it (Champions League)!" [TNT]

Unapaswa ku 'read between the lines' hapa. Jamaa kaanza na 'ON ABILITY'. Watu huwa wakisema 'on ability' au 'potentially' na vimaneno kama hivyo, anamaanisha kuwa uwezo upo, mfano quality ya wachezaji, nk. Ila mambo mengine, kama mbinu bora na utekelezaji wa mbinu hizo, majeraha, attitude, ari na nia ya kushinda, na mengine ambayo ni muhimu kwa ushindi, yasipokuwepo unawea usishinde chochote.

Ni kama unavyosikia mtu akisema 'talent is nothing without hard work'. Translate it kwamba Owen anasema 'ability' haitoshi kuifanya Arsenal kuwa bingwa wa hilo kombe,
 
Thierry Henry says he would have loved to play with #Arsenal's Gabriel Jesus:

“I will be honest with you. I would have loved to play with Jesus. I’m sure if you asked anyone, they would love to play with him. Is he a guy who is going to score 25 or 30? I don’t know. I’d like to think so.

“The pass tonight to Martinelli won the game (vs Sevilla). And yes I was talking about all around play but those opportunities were magnificent.

“Now we all know he’s not going to be the best goalscorer in history but what he offers and what he does for the team is second to none.

“Every now and then he can finish like he did vs Sevilla.”
 
Tomiyasu alikuwa mgumu sana kumpita jana.

1698237035082.jpeg

Ila Sevilla walikuwa wanalazimisha sana mipira kwenda right wing na kufanya take-ons naye na sikuona hata moja waliyofanikiwa. Hata alipoingia Trossard, walikuwa wakimpita Trossard wanakutana na Tomi na Tomi hawampiti.
 
Tomiyasu alikuwa mgumu sana kumpita jana.

View attachment 2792386

Ila Sevilla walikuwa wanalazimisha sana mipira kwenda right wing na kufanya take-ons naye na sikuona hata moja waliyofanikiwa. Hata alipoingia Trossard, walikuwa wakimpita Trossard wanakutana na Tomi na Tomi hawampiti.
Halafu bdo Timber yupo nje....akirudi kazi ipo...Zinchenko anaweza kutafutiwa pengine pa kucheza
 
Back
Top Bottom