Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Gabriel Martinelli on his goal against Sevilla:

“Big Gabi made the clearance to the other Gabi, and then he was amazing with a nice skill and played it to me. I just waited for the keeper, looked at him, and I thought I couldn’t miss it again. It was good I scored!”
20231025_011556.jpg
 
Yapi hayo ? Mbona tunapenda lawama Sana

Leo kakosea Nini

Fanbase hii ya sasa mbona hamna jema

Tumeshinda lawama

Tukidraw lawama

Tukifungwa maafa


Arteta kajikaanga wapi?
hatuchezi vizuri
hatuko aggressive
hatuko lethal
Sio lawama mzee this season so far hatuko convinsly kabisa

Kai ni lazima acheze kila game what about Rowe
???
 
hatuchezi vizuri
hatuko aggressive
hatuko lethal
Sio lawama mzee this season so far hatuko convinsly kabisa

Kai ni lazima acheze kila game what about Rowe
???
Una uhakika hatuchezi vzr? Unaangalia mech zipi hizo aisee


Yaan huon umuhimu wa Kai?

Unajua mech na Chelsea ,Jesus na Nketiah walishindwa kabisa kudominate backline ya Chelsea sababu ya Silva na Colwill ni warefu Sana ,had alipoingia Kai akatoa pre assist kwa saka na kuanza kuwasumbua Silva na Colwill

Usikariri ,Kai siku hizi hachez kiungo anaingia Kama CF, mechi na City ulimuona ?


Unasema hatuko aggressive, how?
 
Una uhakika hatuchezi vzr? Unaangalia mech zipi hizo aisee


Yaan huon umuhimu wa Kai?

Unajua mech na Chelsea ,Jesus na Nketiah walishindwa kabisa kudominate backline ya Chelsea sababu ya Silva na Colwill ni warefu Sana ,had alipoingia Kai akatoa pre assist kwa saka na kuanza kuwasumbua Silva na Colwill

Usikariri ,Kai siku hizi hachez kiungo anaingia Kama CF, mechi na City ulimuona ?


Unasema hatuko aggressive, how?
Uzuri ni kwmba watu wanalalamika na bado tunashinda kwhyo hii inaonesha tumeshaweka high standard which is a good thing...January tuongeze forward pale mbele...Ili tuendelee kuwakera zaidi
 
Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?

Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
 
Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?

Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Na taarifa nyngine mpe kwmba lile goli ndo mwanzo na mwsho hatakaa atufunge tena🤠🤠🤠🤠....kuelewa haya nnayoongea tukutane kwny mashindano yyte karibuni ukiachilia ligi kuu ambayo Iko mbali mpk mwakani
 
Hivi mashabiki wa Chelsea Nani aliwadanganya sisi tunaumia na mudrky?

Tuna Trossard ,Nelson wachezaji wazuri na Wana contribute vzr tu ,Kama Trossard ana G/A 16 toka afike Arsenal ana mchango wa goli kila baada ya dk 85 ,na Ni mchezaji wa Benchi

How comes mashabiki wa ukengeni fc wanadhani tunahangaika na mudrky mwenye 3G/A kwa miezi 6?
 
Tutafute LCM wauhakika Sasa ,Rice akamate DM

Nimeona tunaweza kumchukua Yousuff Fofana yule wa Monaco ,alikuwa Ni 2nd choice tukimkosa Rice

Alikuja na Monaco pre season alitupa mechi ngumu Sana na alitufunga

Ni no.6 mgumu sana ,tunaweza mpata bure mkataba wake unaisha

FOFANA as DM , Rice LCM

au tutafute LCM Kama Paqueta ,Rice DM
 
Goli la Martinelli Jana ,pale ndio unajua why alikuwa anacheza Kama no.9 akiwa Ituano FC
 
MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986

1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. Jose Mourinho
5. Ole
6. Rangnick
7. Erik Ten Hag
TOTAL Premier League trophy =20

ARSENAL MANAGERS SINCE 1986

1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL Premier League trophy = 13

CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24. Emmanuel Ogbeche
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27. Hon Henry Ophori
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30. Dele Baba Dee
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34. Omo'ba Leke Adegbite
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38. Iyke Ekwensu Papiwater
39.David Livingston
40.Chimulilenji
41. Kondwani Nankhumwa
42. Grezelder Jeffrey
43. Dirisu Yakubu
44. Frank Lampard
45. Thomas Tuchel

TOTAL Premier League trophy = 6
 
Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?

Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Mudryk anapostiwa humu kutokana na Masimango ya Masingeli juu yake.
Kila siku Masingeli alikua anamshambulia Mudi humu kwa kutokufunga, sasa kwa kua Mudryk kawagonga goli bora kabisa la msimu lazima picha zake ziwepo humu kama ukumbusho kwa Masingeli na chawa wake.
mykhailo-mudryk_43.jpg
SEI_174349579.jpg
mykhailo-mudryk-chelsea-arsenal.jpg
 
Kuna wadau walisema kubeba champions league trophy ni easy sababu ya knock out stage nyieeeee roho mkononi mamamamae sina hamu
Ulipaswa kumuuliza kama ni easy mpaka sasa hivi timu yake ina trophies ngapi za CL?
Ila Masingeli banaaaa sometimes hua nahisi huyu jamaa ni Haji Manara.
FoCn878X0AM3fru.jpg
 
MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986

1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. Jose Mourinho
5. Ole
6. Rangnick
7. Erik Ten Hag
TOTAL Premier League trophy =20

ARSENAL MANAGERS SINCE 1986

1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL Premier League trophy = 13

CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24. Emmanuel Ogbeche
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27. Hon Henry Ophori
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30. Dele Baba Dee
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34. Omo'ba Leke Adegbite
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38. Iyke Ekwensu Papiwater
39.David Livingston
40.Chimulilenji
41. Kondwani Nankhumwa
42. Grezelder Jeffrey
43. Dirisu Yakubu
44. Frank Lampard
45. Thomas Tuchel

TOTAL Premier League trophy = 6
Kuhusu huku je?
FoCn878X0AM3fru.jpg
 
Hao Ni manjesta na kenge fc hawajui lolote

Sevilla Leo pamoja na kukamia wamekula fimbo vzr kabisa

Wanakuja next week Emirates ,tunafuzu ,anakuja lens tunaongoza kundi

Tunaenda kumalizana na PSV kwao

Tunapasha kwa ajili ya Robo
Masingeli kwa kile mlichokifanya msimu uliopita kwenye PL zimebaki mechi 8 ligi kuisha mnaongoza kwa points 8 halafu ligi inaisha mnakua mpo nyuma kwa points 8 ni bora tu ungenyamaza kwanza mpaka mfanikiwe kufuzu kwenye hatua ya makundi, hizo mechi 3 zilizobaki unaweza kufanyiwa Surprise halafu ukajipiga Ban mwenyewe kisha tukakosa kuburudika na comedy zako humu unazowapea false hopers wenzio.
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Back
Top Bottom