Yapi hayo ? Mbona tunapenda lawama SanaSawa tumeshinda ila arteta anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
Hao Ni manjesta na kenge fc hawajui loloteWatakuja kukushambulia.
Ode anahitaji mipira mingi ,anamkosa Parteypt 3 muhimu ,saka na ode sielewi kimewapata nini.. form imeshuka na hawapo fit kiujumla!
Leo kakosea wapiRaya ni pazia. Makosa mengi sana.
Haya ndio matokeo ya msimu huu Hadi SasaSawa tumeshinda ila arteta anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe













Leo kakosea wapi
Umeangalia mpira gani
Hivi wenzetu mmeangalia mpira huu au mwingine?
Kazi aliyofanya Raya Leo unasema kuna makosa
Bado najiuliza hii fanbase ya Sasa inatokea wapi
"Ugenini, kuna kitu kinaitwa kucheza kwa pande zote na hiyo pia inaingia unapozungumzia wachezaji. Ukitaka kulinganisha mchezo. kwa mechi ya Man United ,utaona ni ngumu zaidi kucheza na Sevilla ugenini kuliko Copenhagen nyumbani.
Lazima uwape sifa kubwa Arsenal kwa kushinda mchezo ugenini Ulaya haswa dhidi ya Sevilla.
"Nilidhani mwisho tuliwaalika sana kwenye boksi letu, tukawaruhusu kuvuka mapema sana. Mawinga walikuwa wakicheza kama mabeki wa pembeni. Mwishowe tulicheza 6-3-1 ndio maana. walikuwa wakipiga mpira ndani kwa sababu hakuna aliyekuwa akitaka kuweka shinikizo kusimamisha krosi.
"Raya alipata bahati, nadhani sote tuliona wakati anapiga mpira na kila mtu akautazama na mpira ukapita juu ya goli. Unaposhinda ugenini Ulaya, huwa ni matokeo mazuri hasa dhidi ya timu kama Sevilla
| Gabriel Martinelli on #SEVARS and scoring: