HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
😀 😀 ila unaona nani ameingia? ubunifu katika chance creation vipi?Afadhali odegaard ametoka
😀 😀 ila unaona nani ameingia? ubunifu katika chance creation vipi?Afadhali odegaard ametoka
Shika ukuta upapaswe. UsisahauJellyAsenyeto leo tena mnabakwa viwili na Sevilla
league trophy ni easy sababu ya knock out stage nyieeeee 








roho mkononi mamamamae sina hamuHii mechi mliifunga timu gani? Msimu huu hampo mashindano yoyote ya nje?cHelsea always ni bora kuliko nyie kondoo, nikuulize kwanza hako katimu kako kamdundiko kanafahamika ulaya?
View attachment 2791463
Tuna mechi mbili Nyumbani zimebaki...tumesha qualify...hii game ya ugenini leo ndo ilikuwa ngumu..tumeshamalizana nayo...Shaky performance but we move
Kuna wadau walisema kubeba championsleague trophy ni easy sababu ya knock out stage nyieeeee
roho mkononi mamamamae sina hamu
PSV tutaenda kucheza nao kukamilisha ratibaTuna mechi mbili Nyumbani zimebaki...tumesha qualify...hii game ya ugenini leo ndo ilikuwa ngumu..tumeshamalizana nayo...
Shaky performance but we move
Tutaenda kuua watu huko 16 boraTunahitaji point 3 twende 16 Bora
Tuna michezo miwili home na mmoja away
UCL tutaanza rasmi robo fainal
Huku Ni mazoezi
Waliahidi leo wanacheza kufa na kuponaShaky performance but we move
Watakuja kukushambulia.Tunahitaji point 3 twende 16 Bora
Tuna michezo miwili home na mmoja away
UCL tutaanza rasmi robo fainal
Huku Ni mazoezi