Lini kenge amekua bora kwa Arsenal?Hawatak kusema tulikua bora zaid yao, wanazunguka zunguka tu.View attachment 2791451watakwambia kwa kuwa Partey hakucheza, utaletewa na magrafu hapa ushangae.
Lini kenge amekua bora kwa Arsenal?Hawatak kusema tulikua bora zaid yao, wanazunguka zunguka tu.View attachment 2791451watakwambia kwa kuwa Partey hakucheza, utaletewa na magrafu hapa ushangae.
cHelsea always ni bora kuliko nyie kondoo, nikuulize kwanza hako katimu kako kamdundiko kanafahamika ulaya?Lini kenge amekua bora kwa Arsenal?
kama utafurahi zaidi ukiamini mlikuwa poa zaidi, sawa, ila Hamisi aliwaletea graphic kitambo tu. Ukweli ni kuwa mmepata sare kwa sababu ya uzembe wetu na siyo ubora wenu. Pamoja na uzembe wetu bado tulitawala game overall. Mimi siyo mleta graphics ila acha nigoogle kimoja kutoka opta...Ukisema mlikua wajinga kutokucreate chances, una maanisha nini? Ina maana hawakutaka au kuna sababu zilizochangia wao kushindwa kucreate hizo chances?
Goli kipa wa chelsea alikua mduanzi, hata usimtetee, alikua na side ways pasi mbili either kushoto au kulia wachezaji walikua wenyewe, akaamua kupiga staight kwa Rice, na rice akatuadhibu, ndivyo inavyotakiwa ukipata chance adhibu. Sio wenzetu na mie wakina wako jacko.
Hapo kwnye paragraph ya mwisho ndipo nilipotaka upatamke mwenyewe, sio kwamba hamkutaka kutocreate chance hata kama mlikua bora ila mlibanwa kutokutengeneza hizo chance.kama utafurahi zaidi ukiamini mlikuwa poa zaidi, sawa, ila Hamisi aliwaletea graphic kitambo tu. Ukweli ni kuwa mmepata sare kwa sababu ya uzembe wetu na siyo ubora wenu. Pamoja na uzembe wetu bado tulitawala game overall. Mimi siyo mleta graphics ila acha nigoogle kimoja kutoka opta...
View attachment 2791478
Unaona hata pale mlipofuna magoli yenu ilikuwa wakati 'arsenal more threatening'?? Yaani kama mlipata magoli kwa Kudra....
Hapo kipa wenu Sanchez hakupewa hata kadi nyekundu kwa ule umafia aliomchezea Jesus na hatukupata hata penati. Kwa umbali aliotoka Sanchez mpaka kwenda kumgonga Jesus WWE-style, ingekuwa ni sisi nakuhakikishia tungepiwa red na penati mngepata. Nyie, on the other hand, mlipata penati kwa mpira aliogongeshewa Saliba akia hewani ameruka kupiga header na mpira uko futi moja kutoka mkononi. Kiufupi iko wazi kabisa refa aliwabeba pia.
Hata hivyo ile ni derby na ni kawaida kuwa na ushindani mkali hivyo kubanana kukosa chances ni kawaida ingawa tungefanya bora zaidi, na sijasema hatukucheza na timu ya chelsea amayo ni kama sheffield...
Tulibanwa kwa sababu tulikuwa hovyo 😀😀Hapo kwnye paragraph ya mwisho ndipo nilipotaka upatamke mwenyewe, sio kwamba hamkutaka kutocreate chance hata kama mlikua bora ila mlibanwa kutokutengeneza hizo chance.
Hizo grafu zako na Masingeli zipo na zitakuepo tu, hivi unafikiri zile chances walizopoteza chelsea wangeziconvert kuwa magoli na chelsea wakashinda, unafikiri hiyo grafu yenu ingebadilika.
iLe ilikua penalt halali kbs, ni kondoo pekee ndio atakataa ile sio penalt, wanakwambia ukiwa kwnye penalt box ufiche mikono, hata ukiruka uruke ukiwa umeficha mikono, ndio ujue wazungu muda mwingine nao ni kondoo, unarukaje bila kunyanyua mikono juu.
View attachment 2791591
tusimharakishe. aje akiwa fit ili tumfaidi michezo mini zaidi.Naona Partey kaumia, hatokuwepo!
Kuna chanzo Cha Spain wanasema Hajaumia ,hata Jana alifanya full trainingNaona Partey kaumia, hatokuwepo!
Niliongea humu walipocheza Copenhagen ,mamluki walinishambuliaNaangalia Bayern, kumbe ni choka mbaya
Asenyeto alikuwa anakula 5-0 ,easy kabisa , zile nafasi mbili za wazi Jackson na moja ya Palmer na nyingine ya Palmer first half ambayo ilitoka nje Tungekuwa na miamba wenye njaa pale mbele , asenyeto mngeumbukaHawatak kusema tulikua bora zaid yao, wanazunguka zunguka tu.View attachment 2791451watakwambia kwa kuwa Partey hakucheza, utaletewa na magrafu hapa ushangae.
Tatu tuu kama mlizowapiga Chelsea zinawatosha hawa.Sehemu ya joginho angecheza rice
Zinchenko/Rowe/Trossad angeenda kukaa kwa rice
Mbona Mambo madogo Sana haya. Arteta anakwama wapi?
It's okey wanangu huyu sevila ale FIMBO ngapi)?