Nakumbuka Saka had a similar situation last year vile kama sijasahauMudi alikuwa anataka kupiga cross akakosea ila bahati nzuri akafunga...ila humu wangetamba utadhani alifunga kwa kujaribu kufunga na kumfanya aonekani naye mchezaji,
Sikumbuki ila nakumbuka ya misimu 2 au 3 nyuma Saka alimchop Mendy wa chelsea. Nadhani tulishinda 4-1 kama sikosei. Saka akaulizwa kwenye post-match interview kuhusu goli lake akasema alimuona Mendy ametoka kwa mbele ya mstari wake akaona ajaribu kumchop.Nakumbuka Saka had a similar situation last year vile kama sijasahau
Wakuu, njoeni basi mtuonyeshe jinsi gani mnamchapa Sevilla leo.
Mtueleze jinsi gani mtawa-overload, mtafanya high pressing, how many tackles you are going to win, aerial duels, vile Kai na Jesus watakavyo-interchange position n.k.
J2 hii vipara wawili wanakutana...mmoja ana ndonga kama ya baba Ubaya...Sasa tunataka kuona ni kipara gani siku hiyo atakuwa ana akili kumzidi mwenzake
Ni kama ulivyosema. Ni Arsenal ashinde au Sevilla afungweJumapili mbali sana tuzungumzie kwanza mechi ya leo, vipi msimamo wenu bado ni uleule kua matokeo ni mawili tu Arsenyo ashinde au Sevilla ushindwe au safari hii mmekuja na slogan nyingine?
Timu mbili zimeombwa sana msamaha na PGMOL msimu huu Arsenal na Brighton.
Baada ya mechi dhidi ya Chelsea Arsenal inatarajiwa kuombwa tena msamaha kutokana na kipa wa Chelsea alichofanya kwa Jesus na penati ya Saliba kuonekana haikua fair.
Agenda all over.
HahaKuna vitu vinachekesha ila ndiyo hivyo.
Wapinzani msimu uliopita walituwekea standard.
Kwamba Arsenal hamtakiwi kufungwa.
Msimu huu standards ni Arsenal hamtakiwi kufungwa wala kusuluhu.
Ni kama ulivyosema. Ni Arsenal ashinde au Sevilla afungwe
Labda washinde njaa.Naona mmetafuta pa kujifichia. Ila leo mnashinda
Sharp memory mkuu, kabisa alikuwa ni Mendy. Ngoja nipite YouTube hapa.Sikumbuki ila nakumbuka ya misimu 2 au 3 nyuma Saka alimchop Mendy wa chelsea. Nadhani tulishinda 4-1 kama sikosei. Saka akaulizwa kwenye post-match interview kuhusu goli lake akasema alimuona Mendy ametoka kwa mbele ya mstari wake akaona ajaribu kumchop.
BTW, magoli ya bahati nayo ni maoli muhimu tu ila tunawashambulia tu hawa chelkenge kwa goli lao la Mudi kishabiki tu. Sisi wenyewe tumempiga Man City kwa sababu mpira ulideflectiwa na AKE. Labda kipa wa City angeuwahi mpira na kuokoa goli kama siyo kwa ile deflection. Cha muhimu ni kushinda mechi
Sio kwamba mlikuwa ovyo sema Chelsea waliwafanya muwe ovyo maana walikuwa compact, wakawanyima space na walikuwa wana win mipira ya kugombaniaWewe Kenge ,Kuna standard Arsenal tumejiwekea ,ile mechi kwa Standard yetu tulicheza ovyo, pamoja na kuwapakisha Basi hasa 2nd half
View attachment 2790129View attachment 2790130View attachment 2790131
Leo tunashinda...hatuna kawaida ya kutoshinda gemu mbili mfululizo...huo utamaduni hatuna 🤠🤠🤠Jumapili mbali sana tuzungumzie kwanza mechi ya leo, vipi msimamo wenu bado ni uleule kua matokeo ni mawili tu Arsenyo ashinde au Sevilla ushindwe au safari hii mmekuja na slogan nyingine?
Labda bado ana shock kidogo na vile chelkenge walivyobahatika kupata sare. Nketiah angefunga ile last minutes tungeshinda 3-2. Ungemuona sana Hamis leoNimeshangaa mpaka dakika hii Masingeli cha-mbuzi nguli la Fifa bado halijatuwekea takwimu za kumfunga Sevilla.
Yaani wale jamaa miaka hii wanapaswa kutupa ushindi kila tukiwakuta, sema tunazingua2020 hiyo mkuu, tukawatafuna 3-1.
Hawatak kusema tulikua bora zaid yao, wanazunguka zunguka tu.Sio kwamba mlikuwa ovyo sema Chelsea waliwafanya muwe ovyo maana walikuwa compact, wakawanyima space na walikuwa wana win mipira ya kugombania
Ukisema mlikua wajinga kutokucreate chances, una maanisha nini? Ina maana hawakutaka au kuna sababu zilizochangia wao kushindwa kucreate hizo chances?Field tilt haikuonyesha mchezo umechezwa zaidi kwenye half ya chelsea? possession haikuwa juu kwa arsenal? tulikuwa wajinga kwa kutocreate chances though. Na kipa wenu namtetea kidogo maana kuna watu wawili wangeweza kupokea ile pass yake sema walikuwa wachovu na Rice alikuwa sharp kuuwahi ule mpira na kutumia akili kushoot. Bahati nzuri mpira uliingia golini ila ungeweza kwenda nje pia. Goli la kujaribu, tofauti na goli la kubahatisha la Mudi
Lini kenge amekua bora kwa Arsenal?Hawatak kusema tulikua bora zaid yao, wanazunguka zunguka tu.View attachment 2791451watakwambia kwa kuwa Partey hakucheza, utaletewa na magrafu hapa ushangae.
cHelsea always ni bora kuliko nyie kondoo, nikuulize kwanza hako katimu kako kamdundiko kanafahamika ulaya?Lini kenge amekua bora kwa Arsenal?