Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi tumeshazoea kuwa nyie ni wateja wetu na sehem yetu ya kuchotea points 6 Kwa msimu. Msimu huu badala ya kutupa 6 mmetupa 4. Nakasirika maana pia naona msimu huu unaelekea utakuwa mbaya zaidi kuliko uliopota Kwa yale niliyoyana, hivyo sitaki kupoteza points hovyo hovyo namna hii.
kAma bado hamjaamka mnaota ndoto nyevu nyie ni kondoo.
 
Wakuu, njoeni basi mtuonyeshe jinsi gani mnamchapa Sevilla leo.

Mtueleze jinsi gani mtawa-overload, mtafanya high pressing, how many tackles you are going to win, aerial duels, vile Kai na Jesus watakavyo-interchange position n.k.
Hawa ni kondoo, wazee wa ndoto nyevu.
 
Cha muhimu amefunga goli, sio penalt kama ya mwenetu Kai😂😂 halafu ile krosi angalia alitumia upande gani wa kiatu ndio utajua hujui.
si ndiyo maana ya 'mishit'. uki google 'mishit cross', picha hiyo hiyo ya mudi inakuja
 
Wakuu, njoeni basi mtuonyeshe jinsi gani mnamchapa Sevilla leo.

Mtueleze jinsi gani mtawa-overload, mtafanya high pressing, how many tackles you are going to win, aerial duels, vile Kai na Jesus watakavyo-interchange position n.k.
Sasa tuseme sisi ya nini wakati wewe mwenyewe umeshamaliza kila kitu. Hayo uliyosema ndiyo yatakayo wakuta Sevilla
 
si ndiyo maana ya 'mishit'. uki google 'mishit cross', picha hiyo hiyo ya mudi inakuja
Hawa ndugu zetu unajaribu kuwaza kama wangebahatisha wakatufunga sijui ingekuwaje aisee🤠🤠🤠..maana draw tu hivi ila huyu msela toka jana anatujazia nzi tu humu na mapicha yake
 
Hawa ndugu zetu unajaribu kuwaza kama wangebahatisha wakatufunga sijui ingekuwaje aisee🤠🤠🤠..maana draw tu hivi ila huyu msela toka jana anatujazia nzi tu humu na mapicha yake
Hiyo draw waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.
 
huwa naangalia 'inside training' za arsenal nikipata nafasi. naona kama wanatuonyesha sana pale wanapfanya utani na kucheka kuliko zile hard drills na focus.
 
sevilla leo wakifanya quick transitions kama lens walivozifanya dhidi ya arsenal basi mechi itakuwa ngumu sna kwa upande wa arsenal.
 
Hiyo drwa waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.
Na sio hio game mmoja tu, kwa akili ya Arteta naimani kuna games nyingine nyingi tu mtazipoteza kwa uzembe huohuo
Ile Mentality ya mid table team hapo Arsenyau haiwezi kuisha kwenye hio Academy yenu.
1697910285213.jpg
 
Na sio hio game mmoja tu, kwa akili ya Arteta naimani kuna games nyingine nyingi tu mtazipoteza kwa uzembe huohuo
Ile Mentality ya mid table team hapo Arsenyau haiwezi kuisha kwenye hio Academy yenu. View attachment 2791197
Msimu huu naona tutapata taabu kiasi. tunahitaji kuwa wakatili zaidi haswa katika kufunga magoli
 
Mbunge na Chelkenge nililikosa kulicheki aisee. Leo Sevilla tunamnywa supu vizuri kabisa. Ila tushukuru game iliisha sare, maana hii ya mudi kutufunga ingekua ndo nyimbo wiki nzima humu.
 
Hiyo draw waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.
Arteta kafanya uzembe gani acha kumpandikiza ubaya baba wa watu, alizidiwa mbinu. Nipe kosa la Arteta moja tu?
Usiniambie hakumpanga Partey, ina maana bila partey Ars888 haiwezi kupata matokeo??
 
Mbunge na Chelkenge nililikosa kulicheki aisee. Leo Sevilla tunamnywa supu vizuri kabisa. Ila tushukuru game iliisha sare, maana hii ya mudi kutufunga ingekua ndo nyimbo wiki nzima humu.
Mudi alikuwa anataka kupiga cross akakosea ila bahati nzuri akafunga...ila humu wangetamba utadhani alifunga kwa kujaribu kufunga na kumfanya aonekani naye mchezaji,
 
Arteta kafanya uzembe gani acha kumpandikiza ubaya baba wa watu, alizidiwa mbinu. Nipe kosa la Arteta moja tu?
Usiniambie hakumpanga Partey, ina maana bila partey Ars888 haiwezi kupata matokeo??
Labda hujanielewa. Arteta alipaswa kushinda hiyo game kwa namna yoyote ile. ingawa kimbinu hamis77 nadhani alishaleta graphic ya kuonyesha kuwa actually kimbinu chelsea hawakuwazidi arsenal
 
Labda hujanielewa. Arteta alipaswa kushinda hiyo game kwa namna yoyote ile. ingawa kimbinu hamis77 nadhani alishaleta graphic ya kuonyesha kuwa actually kimbinu chelsea hawakuwazidi arsenal
Ukisema ashinde kinamna yoyote labda alitakiwa afanye nini? Unafikiri yeye Arteta hakutaka kushinda?

Halafu huyo Masingeli ndio huwa anawaponza kw hayo magrafu yake. haya atupe na magrafu ya Sevila mapema tujue.

Ile game ilikua zaid upande wa chelsea mpk kipa alipowarudsha mchezoni. Ingekua ni City mngeshakula 5, na magrafu yenu yangesomama hivyo hivyo.
 
Timu mbili zimeombwa sana msamaha na PGMOL msimu huu Arsenal na Brighton.

Baada ya mechi dhidi ya Chelsea Arsenal inatarajiwa kuombwa tena msamaha kutokana na kipa wa Chelsea alichofanya kwa Jesus na penati ya Saliba kuonekana haikua fair.

Agenda all over.
 
Hawatakuelewa bro. Ukiwaambia watu Arsenal haitizamwi kwa sawa na timu zingine bali kwa kionevu zaidi utaonekana unalalamika kwa kukosa ushindi au timu yako haijaperform unataka ushindi wa mezani. Inajulikana kabisa kwamba pale timu zinigine wanapotembea, Arsenal inapaswa kukimbia, na pale wengine wanapokimbia, Arsenal inapaswa kuruka.
 
Back
Top Bottom