kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Tutapigwa kama mbwa tukiingia hiviNingependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB
Tutapigwa kama mbwa tukiingia hiviNingependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB
Sevila unawachukuliajeNingependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB

Alooo!!!!Hapo kwa kuongezea, Cedric aanze namba mbili kule. Na madogo wa academy wawepo first eleven.Ningependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB
ChambuziDuh kweli maisha magumu.
Ebwana nilioversee neno Liverpool.
Anyway, then you can take your subjected opinions, wrap it up around and shove it far up your ass you dumb ass bitch
Brother nifanyie mpango wa connection ya kazi hapo ofisini kwako, kitaa mambo magumu.Duh kweli maisha magumu.
Ebwana nilioversee neno Liverpool.
Anyway, then you can take your subjected opinions, wrap it up around and shove it far up your ass you dumb ass bitch
Mi si ndiyo nilituma hadi CV humu.Brother nifanyie mpango wa connection ya kazi hapo ofisini kwako, kitaa mambo magumu.
Chambuzi
Cha goat
Cha mee
Kuna ushuhuda ulituma huku, wa kupata kazi nzuri baada ya kusota.Mi si ndiyo nilituma hadi CV humu.
Hali ni mbaya hadi nashindwa kusoma vizuri
Karata ya Arteta na Edu itarudi kwa Douglas Luiz.Arsenal are hoping to sell Ghana midfielder Thomas Partey, 30, and Italy international Jorginho, 31, as they attempt to bring in Fluminense's 22-year-old Brazil international Andre. (Football Insider)
Huwezi amini a month after lilitokea tukio nikapost humu kilichotokea ofisini.Kuna ushuhuda ulituma huku, wa kupata kazi nzuri baada ya kusota.
Sisi tumeshazoea kuwa nyie ni wateja wetu na sehem yetu ya kuchotea points 6 Kwa msimu. Msimu huu badala ya kutupa 6 mmetupa 4. Nakasirika maana pia naona msimu huu unaelekea utakuwa mbaya zaidi kuliko uliopota Kwa yale niliyoyana, hivyo sitaki kupoteza points hovyo hovyo namna hii.Acheni kujitekenya wenyewe, walioumia sare ni chelsea. Kwa game ilivyokua upande wa chelsea. chelsea kudraw ni sawa na kufungwa tu.
Mnasema Arsenal haikua bora kwnye ule mchezo, ni kwa sababu gani Arse88 wali under perform?
Jamaa alipiga cross mbovu iliyogeuka kuwa goli zuri kibahati baharti. Acha na yeye apate ku shine kidogo tumemuandama sana
Pole broHuwezi amini a month after lilitokea tukio nikapost humu kilichotokea ofisini.
Kuna jamaa akaja inbox akaniambia ingawa lengo lilikua kuonyesha inawezekana ila kuna watu wana roho mbaya. So nijifunze next time
Ndiyo maisha kaka, sina cha kufanyaPole bro





