Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cheki false hoper mwingine huyu mpaka mwisho wa msimu akiwa kwenye illusion hii si anaweza kuchanganyikiwa huyu 😂.
Arsenal hapo point atachukua kwa Sheffield tu , vingine vyote ni vichapo na draw tu hasa pale st james.
 
Naona akili imeanza kuwakaa sawa ligi bado mbichi lolote linaweza kutokea Man U utashangaa tukamaliza juu ya Arsenal
Onana 😂
Mkuu usiongeze bia nyingine hiyo inatosha. Msimu uliopita unakumbuka kilichotokea baada ya kuanza maneno? Ni Liverpool
 
Humu false hopes nyingi ila ukiangalia kwa ukaribu utakuja gundua katika timu za top 4 Asenane ndiye aliyecheza game nyepesi wakati wengine wanapitia njia ngumu.

👉Asenyani bado hajacheza big match na Liverpool, Brighton, Newcastle, West Ham nk.

👉Game kubwa alizocheza ametoa draw na Tottenham, Chelsea, na pia Fulham.

Maana yake kama Arse8 anadondosha point kizembe hivi kwenye big match tutegemee kuona akidondosha point nyingi zaidi hapo mbeleni akikutana na wakubwa wengine
 
Kuna mtu humu ndani aliuliza swali la muhimu sana.
Jamaa aliuliza “ hili jukwaa la Arsenal limeanzishwa toka mwaka 2006 je arsenal ana kombe gani la maana toka jukwaa hili lianzishwe ?” Watu mpaka sasa hajajibiwa 😂😂.

kutokana na sifa zilizozidi humu ndani za hiki kikosi cha Arsenal nina 100000 ya chapu hapa kama kuna mchezaji yeyote yule wa arsenal atakuwa amemzidi mchezaji wa NEWCASTLE hivi vitu
1. Saves na clean sheet ( Nick Pope)
2. Assists ( Trippier)
3. Goals ( isak or wilson )
Kuna 100000 ya chapu hapa mchezaji yeyote yule wa false hopers.
Timu maneno mengi ya kufikirika kuliko uhalisia wa stats😆😆.
 
Walishajisaulisha hawa viraza
Huo ni upepo ambao Mhuni mmoja HAMIS huwa anawajaza watu humu na wengi humuamini,siku zote huwa namwambia Mpira si kitu rahisi kama anavyodhani hivyo awe na Heshima kwa wapinzani. Akiandikaga upuuzi wa kusifiasifia ujinga huwa namshangaa sana,akiandika kumsifia Raya utadhani Raya ana mikono 20 kumbe ni kipa mmoja BOYA tu,kafungwa goli la kisenge jana na kuchomesha,uwezo wake wa kujiamini ni mdogo sana
 
Kuna vitu vinachekesha ila ndiyo hivyo.

Wapinzani msimu uliopita walituwekea standard.

Kwamba Arsenal hamtakiwi kufungwa.

Msimu huu standards ni Arsenal hamtakiwi kufungwa wala kusuluhu.
 
Arsenal ina timu mbili ambazo ikicheza nazo sihofii.

Nyumbu na kenge. Mmoja kashatema points mwingine kapaki basi katoroka na points 2
 
Partey angetusaidia kuwarelease baadhi ya wachezaji kule Mbele km Odegaard kupitia direct carry kitu ambacho J20 hana. Ila angetuua kwa zile direct pass zake coz midfield ya chelsea ilikuwa compact na ni wazuri kutransit. Fair play to J20.
 
Jamaa mbona kama unaongea kinyume yaan arsenal ndo tume cheza game nyepesi, na tushacheza na spurs, man u, man city, chelsea.
yaan una sema brighton, newcastle n timu ngumu kuliko hizo. Aisee! Kweli hater n hater.
 
Sio kwamba mlikuwa na kiwango kibovu sema sisi Ndio tumewafanya muwe wabovu tumeshinda mechi tatu mfululizo sio kwa bahati mbaya kabla ya kukutana na nyie nyinyi mkawa na picha kwasababu ya nafasi yetu tunayoshika kwenye table wakati team ilishabadilika tulikuwa compact tukaziba space na tulikuwa tunawin mipira ya kugombania most sasa nyinyi mnashinda against ya team ambayo ipo open Ndio ubora Wenu unaonekana
 
Title contender anashangilia draw dhidi ya Chelsea dhaifu😂
Chelsea sio wabovu kama unavyofikiri wanashindwaga ni kwenye kumalizia tu nafasi basi but wanapiga mpira mkubwa sana hivi uliona dhidi ya Liverpool walivyokuwa wanapigwa msako wa maana kipindi vyote walimiliki waa, walitengeneza nafasi nyingi sana za goal but the end mechi inaisha draws but kama wangetumia nafasi liverpool alikuwa anapigwa hata 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…