Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Msimu huu tuna iyo timu inasaka matokeo muhimu inaHamna timu pana ninyi, asingecheza Saka hiyo assist angetoa nani? RW angecheza nani
Na hii ndiyo itakayoifanya Arsenal msimu huu mshindwe hata kubaki top 4, mkikumbwa na majeruhi kama yetu ndipo akili yenu itaelewa maana ya deep squad
Jezi ziliporushwa juu kutafuta first x1 hakudaka jezi ndo maana humuoni ๐.Arteta Kama ame-bet hivi
Shida ya partey ni nini?
We hujielewi kweli. Yani umeshindwa kumaliza mechi nyumbani kwako ukiwa mbele kwa mabao 2 halafu unategemea uje kuifunga Arsenal Emirates?Tukija emirate tutawalamba lamba yani tunawapakia nkongo๐๐๐
Kabisa kuna muda anakuwa kama fala flaniAngalau matumaini ya kupanda top 4 sasa inaonekana wazi, Pochettino ashighulike na Sanchez maana namuona kama chizi vile, hayuko serious
Hapa umeandika pumba tupu. Timu inajiandaa kuwa off-load wachezaji kama Jorginho halafu wewe unataka apewe game time ili azoee, azoee nini sasa?Nafikiri arteta anataka kujenga timu ambayo partey asiwe tegemeo pekee,
Kwa aseno ilipo ni bora jorginho aanze halafu partey aingie baadae na sio kinyume chake ๐๐๐.....
Sio uongo mmecheza vyema despite ya matokeo lakini msijidanganye kama performance hii mtakuja kui display tena mkija Emirates..Tutakuja kuwanywa kama uji hapo kwenu subirini
Yaani hii timu ina makombe ya kufikirika , wanakuambia kule UEFA hakuna wa kuwasumbua zaidi ya man city na walivyobahatisha kwa man city ndo kabisa akaja humu mtu mmoja anakuambia hakuna kombe jepesi kuchukua kama UEFA ๐.Jamaa mlijikabidhi hadi kombe mkaanza kuifananisha Arsenal hii na ile ya invincible ๐
Chelsea imejichokea? Waulize liverpool wakuambie msako ulivyokuwa.Unapelekewa pumzi ya moto na Chelsea hii imejichokea halafu unajiita title contender?
Title contender alimfunga bingwa wa ligi na uefa, hili unalizungumziaje?.Title contender anashangilia draw dhidi ya Chelsea dhaifu๐
Yamekua hayo tena nyie kabla ya game si mlijidai mkisema itafikia kipindi hatagusa mpira kwa kiungo cha Ode,Mchele, na Babu ๐. Kwamba mpaka half time atakufa goli 5๐Chelsea imejichokea? Waulize liverpool wakuambie msako ulivyokuwa.
Chelsea msimu huu ana advantage kubwa sana ya kufanya zaidi na kumaliza kwenye nafasi za juu tofauti na msimu uliopita kwa sababu hayupo kwenye michuano mingi kama uefa.
Hizo n tambo za mashabiki ila uhalisia n uwanjani. Ipo wazi tulizidiwa ila kipa nae anazingua bora aanze ramsdale tu.Yamekua hayo tena nyie kabla ya game si mlijidai mkisema itafikia kipindi hatagusa mpira kwa kiungo cha Ode,Mchele, na Babu ๐. Kwamba mpaka half time atakufa goli 5๐
Tulikua tumefungwa lakini.. Tungefungwa mngesemaje?Title contender anashangilia draw dhidi ya Chelsea dhaifu๐
Naona akili imeanza kuwakaa sawa ligi bado mbichi lolote linaweza kutokea Man U utashangaa tukamaliza juu ya ArsenalTitle contender alimfunga bingwa wa ligi na uefa, hili unalizungumziaje?.
Mpira n dakika 90 uwanjani haya mengine hayana umuhimu
Naona kila shabiki la Asenyani likitoa mfano rejea inakua mechi ya kipara. Hiyo game ya kipara inawapa upofu siyo kipimo sahihiTulikua tumefungwa lakini.. Tungefungwa mngesemaje?
City kafungwa na Wolves lakini hatujaona fujo kiasi hiki, Arsenal mpaka sasa haijafungwa.
Leo tumetoa sare kwenye game ambayo tulistahili kufungwa kutokana na uchezaji wetu, still mnasema tunashangilia sare!๐