Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mkuu naomba tena kwa mara nyngne record zioneshe ulisema. [emoji419]Niliandika kabla ya Mechi kumwambia huyu Mhuni HAMIS kwamba ajifunze kumheshimu Mpinzani,aache kudanganya watu humu na VITAKWIMU vyake vya KISENGE,haya dakika 45 hatuna hata on target moja[emoji17]ni mazuzu tu ambao huwa wanamuamini na nyuzi zake za KIPUUZI humu jukwaani
Nasema record zitatambue kiongoz hapa alisema[emoji419]Hapa tupambane angalau tupate hata Draw,tuache kuamini matumaini ya kisenge anayotupaga huyu Mhuni HAMIS,kila siku huwa nampinga humu,lakini akianzaga kuwajaza upepo humu utadhani wachezaji wa Arsenal wana miguu mitano na wapinzani miwili,halafu anajiita mchambuzi nguli kumbe mchambuzi NYUMBU tu
Partey alihitajika humu ndani
Ama kwl tuko ready kuiona Gunners 2nd half.. Tunasbr hapa.Tumetanguliwa goal lakin hawajatutawala
Get ready for arsenal ya kipindi Cha pili
[emoji23]Na Gwajiboi yupo zake Japenga na timu ya Rede[emoji16][emoji16]
Chelaea ndio wamezidi kuwa huru wanacheza wao sasa dalili ya kusawazisha hakuna.Kocha atatwambia
Sikia hii ng'ombeSaka martinel Jesus odegard
Hawa ndio wanasimamia show nzima,
plan A1 kudominate mchezo
If plaA1 fail, partey na Kai plan A2 total destruction
[emoji23][emoji23]Aaaaaah Ni rahaa tupu wakubwa [emoji16][emoji16] View attachment 2788516