Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii game sisi tunataka ushindi sio draw mzee...
 
Ila kiungo ya Jorginho na Zinny haifanyi vizuri kama ilivyo kwa Zinny na Partey.

Pia tunapitika kirahisi tunaposhambuliwa.

Partey ni solid kwenye kila phase. Hope to see some improvement in J20's game today.
Nasema hivi leteni huyo kilema wenu partey ,ikibidi leteni benchi zima ,tunapiga kama mbwamwizi leo
 
Nilichokiona kwamba tumecheza chini ya kiwango
Au hamjaingia kwenye pattern zetu
Ila hakuna mbinu ambayo Hadi dakika hii imetupa presha.

Goal ni bahati mbaya kwa saliba. Kwenye maisha hivi vitu hutokea
Uachage ujinga wa kumshangilia yule Mhuni HAMIS anapokuja na VITAKWIMU vyake vya KISENGE kuaminisha watu ujinga,na wewe MKOREA ndio shabiki yake mkubwa kumbe hana lolote yule ni NYUMBU tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…