hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Najua unaongea hivi maana utakimbia tuHamna ubavu huo ,ninyi level zenu ni Luton FC ,hao ndio mnaiweza kuwavimbia ,sio simba wa London Chelsea .
Tutawabikiri na kutoa onyo kali kwenye hiyo mechi , tutapiga kama tunaua mwizi .
Ghalladog na Caicedo watawavunja kwato hao vilema wenu wanaowapa hype
Yaani nyie hata tukianza na
Kai Jorginho Vieira
Hamtoboi
Uzuri kwasasa hatuna huruma kabisa
Tutawapiga tuwazamishe mtaa wa 12 halafu mna ratiba ile ya kibabe ,kwa kejeri na dharau hizi , nawapa laana mtaishia nafasi ya 12 tena mwaka huu