fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,472
- 10,049
Tuko pamoja mkuu,sema ni vile jukwaa limekumisi na update zako tu.😂 😂 😂 😂 😂 Duu... ndugu nipo sana aisee mambo ni mengi muda ni mchache.
Liverpool mdogo mdogo tunareja kwenye ubora ni swala la muda tu.
YNWA
Lakini unaona fujo za hamis77 ?