Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Madalali na media zinaharibu soko.
Ndio ukweli huo
Madalali na media zinaharibu soko.
Kwa market hii ambayo Casemiro ana 31yrs anaku ofa mwaka mmoja anauzwa €70m,Do you think we got him cheaper? I still believe his price was in the region of £50-70.
Kwa market hii ambayo Casemiro ana 31yrs anaku ofa mwaka mmoja anauzwa €70m,
How about Rice ambaye anakupa A+ kwenye LCM na DM , ambaye utamtumia kwa 7-10yrs
Pep ,Tuchel walikuwa tayari kuweka over £90m ,why?
Ni Mara nyingi Sana mchezaji wa price tag £100m kukuta anasumbuliwa na media sababu wanashindwa kufikia thaman zao,
Kwa Rice inaonekana £105m Ni bargain
Mchezaji kutoka Westham anakuwa Nominees kwenye Ballon dor
Arteta should have mercy on KengePartey being protected at all costs ahead of the Chelsea clash next Saturday #afcView attachment 2781779
Kwakweli asee ,aweke full mziki ,mambo ya kumuacha nje Partey ,sijui nketiah aanze hapanaArteta should have mercy on Kenge
Free market ndo tabu yake inakuwaje regulated na soko hili fake.Naweza sema hii biashara ya wachezaji ikiwa regulated this hypothetical pricing of players will be history.
Tukiingia hivi Kenge anakufa wiki kavuKwakweli asee ,aweke full mziki ,mambo ya kumuacha nje Partey ,sijui nketiah aanze hapana
Aweke full kikos , tunataka mtu akijichanganya apigwe hata mkono half time ,ili tuheshimihane
Siunaona wiki nzima Hakuna kelele humu
Aweke hii lineup chini
Bado had Sasa hatujawahi kuanza na kiungo Cha Øde Partey Rice na attacking ya Saka Jesus Martinelli
View attachment 2781978
Kuna muda mpira hua unamatokeo ya kikatili sana, matarajio makubwa kwenye game hasa Derby ni yakuyaepuka.Tukiingia hivi Kenge anakufa wiki kavu
Kuna muda mpira hua unamatokeo ya kikatili sana, matarajio makubwa kwenye game hasa Derby ni yakuyaepuka.







Ninyi fisi maji asenyeto ndio mnavyojidanganya au sio?.
.........Rice......................................Odegard.
..............................PARTEY.............................
KENGE wanaweza wasiguse mpira
Sio kwa kenge fc hii ,Ninyi fisi maji asenyeto ndio mnavyojidanganya au sio?.
Mtapigwa mchakae
Kwa lugha hizi na kejeri hizi ,hatuna huruma na nyieNinyi fisi maji asenyeto ndio mnavyojidanganya au sio?.
Mtapigwa mchakae


.........Rice......................................Odegard.
..............................PARTEY.............................
KENGE wanaweza wasiguse mpira

daahHuyo Ni jobless mmoja Hana Kazi ya kufanya Kazi Ni kutafuta strory ambazo hazina mbele wala nyuma kuandika humuDah! hamis77 una masimango kama vile Arsenal ni timu moja kubwa sana.
Unanikumbusha mshikaji mmoja wa liverpool anaitwa Captain Marvelous wakati liverpool iko form msimu wa COVID, alitunyanyasa sana kwa kila aina ya rekodi na story unazozijua wewe.
Leo hii nadhani ama amebadilisha ID ya JF au ameacha ushabiki wa mpira baada ya kuishi nje ya matarajio ya timu yake.
Ni suala la muda tu nawe utanyamaza.
,unafikili watu WA hivo Wana muda basii soon hutamuona ..Mwanangu hupend kabisa tufurahie Arsenal yetu ,dah mbona haukuwa hivoDah! hamis77 una masimango kama vile Arsenal ni timu moja kubwa sana.
Unanikumbusha mshikaji mmoja wa liverpool anaitwa Captain Marvelous wakati liverpool iko form msimu wa COVID, alitunyanyasa sana kwa kila aina ya rekodi na story unazozijua wewe.
Leo hii nadhani ama amebadilisha ID ya JF au ameacha ushabiki wa mpira baada ya kuishi nje ya matarajio ya timu yake.
Ni suala la muda tu nawe utanyamaza.
Pasingekalika humuHatusikii kelele humu kwakua tumeshinda.
Hatuongelewi kwakua tumeshinda.
Tungefungwa sasa!