Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
kma amekujbu naomba nitagAgainst Arsenal your most clinical finisher hajapiga shot.
The whole team imepiga shots nne.
Sisi tumekubali Arsenal ni timu ndogo. Swali langu kwako ni utajipiga ban au ulikua unanogesha stori?
Hii Kauli ya "Arsenal ya msimu huu imebadilika" tumeisikia tangu enzi za babu Wenger.Usijidanganye sana Arsenal ya msimu huu kuna utofauti ukilinganisha na msimu uliopita kuanzia squad depth na upambanaji na bado tutasajili tena january aisee msimu huu tutaona mafanikio Zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbu Ni nyumbu msimu huu muishie nafasi ya 10Hii Kauli ya "Arsenal ya msimu huu imebadilika" tumeisikia tangu enzi za babu Wenger.
Ila mwisho wa msimu wote tunajua script itavyomalizika.
Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi tutarudi hapa May kuona same script mkiwa mnalia mwisho wa msimu
Hii Kauli ya "Arsenal ya msimu huu imebadilika" tumeisikia tangu enzi za babu Wenger.
Ila mwisho wa msimu wote tunajua script itavyomalizika.
Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi tutarudi hapa May kuona same script mkiwa mnalia mwisho wa msimu
You wish. Mechi nane mmejitangazia na ubingwa tayari😂Nyumbu Ni nyumbu msimu huu muishie nafasi ya 10
Gary Neville:You wish. Mechi nane mmejitangazia na ubingwa tayari
Ndiyo maana nilikua namuambia 999 chatta kwamba Nketiah asipokupa goli hana kingine cha kukupa. Ni kama Haaland au HojlundTatizo la nketiah akishapotea , Basi Hana msaada mwingine
Good news kwetuOFFICIAL: Bukayo Saka has pulled out of the England squad due to injury.
He will take a rest for the next two weeks as he fights to be fit to face Chelsea.
Next step ,naona nikutafuta CF wakueleweka ,mwenye profile tofaut na tulionao , na nketiah nadhan safari yake itawadiaNdiyo maana nilikua namuambia 999 chatta kwamba Nketiah asipokupa goli hana kingine cha kukupa. Ni kama Haaland au Hojlund
You wish. Mechi nane mmejitangazia na ubingwa tayari
tulipaswa kumpa baraka zetu tu alivyofikisha mwisho wa mkataba wake badala ya kumpa mpya wakati uleNext step ,naona nikutafuta CF wakueleweka ,mwenye profile tofaut na tulionao , na nketiah nadhan safari yake itawadia
Kwa Nketiah Hatuwez kukosa €40-45m