verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Tutachukua tu hata Liverpool walikuwa wanakosa kombe mara kibao tu lakini baadae wakalipata na sisi tutalipata punguza kukariri maisha usikae hapo ukafikiri Arteta na Arsenal yake hawajifunzi from mistakes ili wapate matokeo bora zaidi mwisho wa siku kuchukua kombe,i tell you this season is different last season city kachukua point 6 kwetu but now tumeshachukua 3 kutoka kwake na tunasubiri kukusanya more points from top 6 team na hakika msimu huu tutafanya kitu zaidi ya last season mark my words.Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..
Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..
Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
Kwa MTU anaejua EPL ,kujua makocha waliopo na mentality walizonazo harafu akaangalia hii table ilivo , ndio unaweza kudhibitisha kuwa kuna watu humu wanajiita Ni mafans WA Arsenal dish lilishayumba , ubingwa hapo bado mnoo ,Kwa table ilivo hata united anaweza kupush game 4 tu akawa top of the table ...Tutachukua tu hata Liverpool walikuwa wanakosa kombe mara kibao tu lakini baadae wakalipata na sisi tutalipata punguza kukariri maisha usikae hapo ukafikiri Arteta na Arsenal yake hawajifunzi from mistakes ili wapate matokeo bora zaidi mwisho wa siku kuchukua kombe,i tell you this season is different last season city kachukua point 6 kwetu but now tumeshachukua 3 kutoka kwake na tunasubiri kukusanya more points from top 6 team na hakika msimu huu tutafanya kitu zaidi ya last season mark my words.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa message yangu,kwa mtazamo wangu naona bado tuna uwezo wa kupambania kombeKwa MTU anaejua EPL ,kujua makocha waliopo na mentality walizonazo harafu akaangalia hii table ilivo , ndio unaweza kudhibitisha kuwa kuna watu humu wanajiita Ni mafans WA Arsenal dish lilishayumba , ubingwa hapo bado mnoo ,Kwa table ilivo hata united anaweza kupush game 4 tu akawa top of the table ...View attachment 2776380
Acha kukariri wewe unaongea as if hao man city toka ianzishwe inachukua tu makombe...arsenal is progressing bro unaona kabsa kila mwaka kuna hatua wanavuka hebu sometimes jaribuni kuwapa credit hiv mmesahau arsenal ilipotoka?Kwa MTU anaejua EPL ,kujua makocha waliopo na mentality walizonazo harafu akaangalia hii table ilivo , ndio unaweza kudhibitisha kuwa kuna watu humu wanajiita Ni mafans WA Arsenal dish lilishayumba , ubingwa hapo bado mnoo ,Kwa table ilivo hata united anaweza kupush game 4 tu akawa top of the table ...View attachment 2776380
Against Arsenal your most clinical finisher hajapiga shot.Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..
Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..
Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
Huyo united apush game 4 awe top of the table labda top 6 wapigwe game zote 4 kitu ambacho siyo rahisi kutokea bro ni kama ndoto tu...Kwa MTU anaejua EPL ,kujua makocha waliopo na mentality walizonazo harafu akaangalia hii table ilivo , ndio unaweza kudhibitisha kuwa kuna watu humu wanajiita Ni mafans WA Arsenal dish lilishayumba , ubingwa hapo bado mnoo ,Kwa table ilivo hata united anaweza kupush game 4 tu akawa top of the table ...View attachment 2776380
Jorginho sio mzuri kupiga pasi za mbele, mara zote hupenda kuilinda timu kwa kurudisha mipira kwa KipaGame na spurs kama partey angekuwepo, zile nafasi kina jesus wangeweka basi tungekuwa tunazungumza mengine.
Kibabu jorginho kiliharibu mambo.
Lakini si mbaya, ndio football.
Yaani ile game Spurs alikuwa anakufa 2-1 kabisa.Na Boko la Jorginho likawapa spurs point
Kwa maoni yangu Jorginho ana pasi nzuri, long balls na splitting passes kuliko uwezo wa kudefendJorginho sio mzuri kupiga pasi za mbele, mara zote hupenda kuilinda timu kwa kurudisha mipira kwa Kipa
Ila kuna muda huwa naamini pengine martinell akikaa kati kama centre foward pengine tunaweza ona zaidi ya tunachoonaWatangazaji wakawa wanafananisha red ya yule dogo wa liva jones baada ya kumchezea rafu Bissouma na Kovacic alichofanya jana baada ya yellow ya kwanza.
Binafsi niliamini Kovacic hastahili kubaki baada ya ule mchezo alioufanya.
Wakati Tomi anampelekea mpira Kai nilisimama nikijua Kai anaunga ule mpira, mpaka unafika kwa Kai Ake akawa kashafika akili ya haraka ikaniambia Kai atajaribu kubody feint na kuscore.
Instead akachagua the simple solution he could see. Akamrudishia sub mwenzake Martinelli. Wakati Martinelli anausogelea mpira, Tomiyasu akawa anapisha njiani, mtangazaji akaita "Martinelliiiiii" mimi muda huo nishasema "Kai vipi tena hapo".
Martinelli anakuja na sasa hivi naamini anaitafuta angle kwa kupiga ndizi. Ake, beki tuliyeambiwa amekuja kumfunika Saka, yeye hakutoka njiani. Ile ndizi ikatua kwake na mpira ukawa wavuni.
Jinsi tumecheza kutotaka kujibizana nao kumesababisha Haaland aonekane wa kawaida, jana au juzi kuna member tukiwa tunaongelea finishing ya Nketiah nikamuambia in terms of finishing and consistency ya conversion Nketiah ndiye top kwa Arsenal.
Na asiposcore utamuona miyeyusho coz huko kwingine ni mbovu. Haaland hajascore na mashabiki wa City wanamuona miyeyusho, lakini ni lini Haaland ameoffer kitu zaidi ya kuscore consistently?
Wiki nzima tunaambiwa Ben atakiona cha moto akikutana na Doku. Doku akaingia na Ben akampiga tobo jamaa na jamaa hajafurukuta hata kidogo.
Tulivyocheza na liva msimu uliopita % kubwa tuliamini we have a chance mara zote 2 nafikiri mpaka msimu ujao tutakua na imani hiyo dhidi ya City pia.
Yule jamaa aliyedai kwamba atajitoa JF nasikia JF wenyewe ukiripoti wanamban
Fukua mkuuMuda unasemaje huko?
Bamelokota kunyavuNani kalambwa?
Kuna kitu kimoja jana nilikiona baina ya Ederson- halland -alvarez kuna long ball alikua anazipiga Ederson halland anahold kwa fisrt touch alf alvarez anapita na mpira kama upepo alifanya kama mara mbili au 3 ivi, na last game KDB lituumiza kwa mpira wa aina iyo iyo.hapo Kai umemuongeza tu ila hata asingekuwepo hakuna ambaye angelalamika. Ila Tomi jana sijui aliingia kucheza kama beki ama forward maana nakumbuka kumuona mbele tu anafanya machambulizi ila sikumnbuki kumuona nyuma akikaba
Huenda ingawa baada ya kutoka na Kuingia Partey niliona timu ili imarika kwa kwenda Mbele zaidiKwa maoni yangu Jorginho ana pasi nzuri, long balls na splitting passes kuliko uwezo wa kudefend
Umeongea vzr Sana ,ila sababu ya ushabiki watabishaTutachukua tu hata Liverpool walikuwa wanakosa kombe mara kibao tu lakini baadae wakalipata na sisi tutalipata punguza kukariri maisha usikae hapo ukafikiri Arteta na Arsenal yake hawajifunzi from mistakes ili wapate matokeo bora zaidi mwisho wa siku kuchukua kombe,i tell you this season is different last season city kachukua point 6 kwetu but now tumeshachukua 3 kutoka kwake na tunasubiri kukusanya more points from top 6 team na hakika msimu huu tutafanya kitu zaidi ya last season mark my words.
Sent using Jamii Forums mobile app