Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimependa Arteta kawa mjanja ,Saliba haendi NT ,Saka haendi pia

Wenzetu wanacheza hiyo michezo kulinda wachezaji wao ,sisi kila mechi za kimataifa hata za kijinga wanaenda tu

Manjesta mchezaji wao muhimu Rashford kila zikifika mech za Taifa utasikia ana injury
 
OFFICIAL -


Saliba WON'T be joining France for international duty due to a toe injury. Will be replaced by Todibo

(@equipedefrance )
Ameumia saa ngapi...au Arsenal nao wameanza uhuni wa kufake majeruhi Ili kuepusha watu wasiende timu za taifa....Partey sijui kama kaitwa... Martinelli sijui kama kaitwa...Saka ndo hvyo naye...huu umafia...ndo maana Arteta press alikuwa anatoa mijibu ya uongo tu...
 
Ile mechi ya Spurs tungempata muhuni Partey pale kati angeendana na zile kazi chafu za akina Bissouma.
Wale walipata ujiko siku ile sana mabwana wadogo wale...ila ipo siku Yao🤠🤠🤠...eti Bissouma na Sarr wakawa wanageukageuka tu pale kati....tukikutana nao tukiwa kamili wale....watatueleza siku ile walipataje draw....ile ilikuwa dharau sana siku ile🤠🤠🤠
 
Mm nataka siku itokee tuwa dominate na kuwafunga convincingly hapo ndo ntasema Sasa tumewiva kwa Hawa Mabraza...vngnevyo so far tukikutana nao tuwe na game plan nzuri tu...tutaendelea kupata matokeo
Kufikia level zao siyo kazi rahisi. Kwenye mpira muhimu matokeo tu namna ya kuyapata haina maana sana. Kuwafunga tu City ni hatua.
 
Tumecheza vizuri
Arteta akoma asiwe anapoteza au kutoa sare na team ndogo
Akiwa serious ubingwa upo
Man city ni team ya kawaida mno
 
Kufikia level zao siyo kazi rahisi. Kwenye mpira muhimu matokeo tu namna ya kuyapata haina maana sana. Kuwafunga tu City ni hatua.
Mkuu ukiwa na physicality kama ya jamaa wale na total domination kama Yao...inakupa uhakika wa kuchukua makombe mengi...sawa kuna mechi utaotewa ila uhakika wa mechi nyng kushinda unakuwa nao..na sisi ndo tunapoelekea huko...lazima uwe na watu wa kazi....mfano mzuri mechi ijayo na Chelsea utaelewa nnachokiongea tukiwa full mkoko🤠🤠🤠
 
Hakuna kombe jepes kubeba Kama UCL ,ndio maana hata timu mbovu zinafikaga mbali

Ni michuano ya kimkakati tu

Watu wananiona natania ila mwaka huu tunacheza fainal pale Wembley

Timu nyingi UCL unga unga Sana

Bado mpinzani halisi Ni mancity
Na tuna wachezaji wenye mentality ya ushindi.. Wakiongozwa na Rice.

Huyu jamaa ni kiongozi uwanjani. Anawaza kushinda muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…