BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Wakiamka tupo nao mpaka international break iisheWamelala mkuu
Wakiamka tupo nao mpaka international break iisheWamelala mkuu
Niko nao hawa kenge leoMkuu fukua sana
Uliapa kbsa kwmba kupata Point haiwezekani kwenu...matokeo ya leo yanaonesha takataka ni naniMatakataka yamebahatisha leo
TrueHizi mechi ndio za kushinda ili tugombanie ubingwa.
True
Wewe hata last week niliposema mancity anafungwa ulidhihaki akafungwa na wolvesMatakataka yamebahatisha leo
Unapajua anapokaa Labyrinth 84...tumtafute physically....naona kajificha sehemu anatuchora tu🤠🤠Nawaza hapa nianzie wapi
Jukwaa la unyumbuni wamelitelekeza nataka niligeuze la biashara zangu za Jezi
Wewe hata Burney anaku outplay ndio utaweza kumfunga city ?Ikitokea timu ya top 6 isiifunge city yenye mguu mmoja wa bernado silva,basi ijipige ban ya title.
Hii city hata United tunapiga kirahisi sana sema kwenu mnaona maajabu sana.
Erling amegeuka benteke tu
Huyo unapoteza MB hata kujadiliana nae ,Sasa Newcastle kweli hata top 6 hawez kuingia ,Unapajua anapokaa Labyrinth 84...tumtafute physically....naona kajificha sehemu anatuchora tu![]()
Tulivyokuwa tunawapiga back to back ulikua hujaanza kushabikia mpira plastic fanWana Gunners mlipo roga msimu huu basi mganga wenu sio tapeli.
Nyie ni wa kutufunga sisi back 2 back kwl?.
Anyway Hongera wana Gunners.
Kuna mtu tushawahi kusumbuana sana juu ya namna ya kucheza na City....nilijaribu sana kumfafanulia siku hyo namna ya kucheza na Hawa Mabraza lakini akajifanya haelewi...kwnda toe to toe na Hawa jamaa kiukweli kabisa bdo kidogo...ila tumia vzuri nafasi utakazopata basi unawamaliza....angalia kikosi kilichomaliza hii gemu ndo almost kama kile kikosi kilichocheza nao siku ile....Halaand alikuwa anazurura tu...wekwa mfukoniHivi ndivyo City anafungwa kwa sasa.
Mzuie asitembee, vumilia show off. Mtambie kidogo.
Shots outta box and voila