Tuna haki ya kupata hata wine [emoji485] leo Kipara ametunyanyasa sana huyu Fala ngoja nikanunue nienjoy na movies zangu leo
Kweli kabisaTuna haki ya kupata hata wine [emoji485] leo Kipara ametunyanyasa sana huyu Fala ngoja nikanunue nienjoy na movies zangu leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] oya hapo umemaliza kuchambuaTunaojua Football tulisema hili Martinelli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nipo ya 3
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oya hapo umemaliza kuchambua
Football haitaki hayaNext game Vs Chelsea
Tukifungwa hii game naomba nipigwe Ban JF for one week
Naomba uniitie Pain Killer mkuu....alitoa ahadi humu tukiwafunga ataacha kutumia Jamii Forum mazima....atimize ahadi yake aisee...dharau zilizidi....tusimuone mazima jamii forumKing Kai with assist