makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Arteta bwana, anataka kututilia kai.. haya ngoja tuone, hakuna ng'ombe asiyefaa, huenda akatustiri japo sina imani nae kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtema mate Nketiah katolewa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaojua Football tulisema hili MartinelliBora Martinelli ameingia may be tutaona jambo
Niliituma hiiHadi dakika hii maamuzi ni yetu
Tushinde au draw
[emoji110]C.O.Y.G
Umejionea Kiongozi tunaojua football [emoji460]️ hili tulilijua mapema sana its better kumchezesha Martinelli ambaye anatoka Majeruhi kuliko kuwa na Nketiah anayetema tema mate muda woteItakuaje kama kumuharakisha mechi ya leo ikamsababishia majeraha yatakayomuweka nje kwa muda mrefu??? Kipi bora