Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tungekua tunacheza na timu nyingine ingekua hawakai na mpira zaidi ya dk.

Against City?

Unanotice kitu? Tunarundikana mpira ulipo. Kati kati City inaacha watu wawili sisi wawili wetu wanaenda kukaa na back line hii inafanya mid yao itumike kurelieve pressure muda wote.

Shabiki anawish wachezaji wa Arsenal wawe kama wa shaolini soccer. Impossible.

Defense ya City Arsenal akiwa na mpira wanabaki 3 against forwards 3 wa Arsenal kisha beki wao wa nne unamuona mid.

Hamis anakuambia gameplan ya kuifunga city kwa counter kwa Arsenal hii ni kujidhalilisha.
 
wengine hatuchek game tupeni updates wakuu
ila Jorginho na Nketia sijafurah kuwaona...
 
Back
Top Bottom