Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Newcastle 3 -0 PSG 0 sometimes tukubali kupokea criticism toka kwa rivals tusipende kujitutumua but in reality team yetu ipo ipo tu

anatengeneza team miaka 20 iliyopita still kroenke alikuepo sasa hapo unatengeneza nini.

Muelekeze huyo afanye kutofautisha kati ya team na false hopers (wauza matikiti)
 


Utawanga wewe arteta na kai na Mackenzie lakini still itakuwa ni false hope
 
False Hopes Football Club. Ma super specialist wa F.A cup.

Bado hamuogopi kuendelea na UCL. Andikeni barua UEFA muombe kurudishwa EUROPA LEAGUE.

Tena hata EUROPA ni matumizi mabaya ya muda, maana kila mkienda mnatolewa nje.

Mrudishwe EUROPA CONFERENCE LEAGUE, huenda kule mkapata hata kakombe ka ulaya cha maana.
 
Wewe issue hapa ni wewe uache ujuaji we boya.
 
Mechi 2 tu za uefa tena group stage maneno mengi na bado kuna mechi kama 4 za kuamua kwenda mbele au kurudi nyuma maneno mengiii mambo bado mabichi kabisa kila mashindano....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa waliona lens kashinda jana wakasema kama dogo janja lens kashinda kwanini na sisi tusishinde , hawakujua kama lens alikutana na wauza matikiti wa london.
Hongereni sana mkuu Labyrinth 84 kwa ushindi mnono, jana lilipigwa soka la kiumeni sana pale St. James' Park, yaani unaangalia mpira huku nafsi ina enjoy.
Ukiachana na mechi ya Spurs vs Liverpool mechi yenu ya jana ni mechi ya pili bora kabisa kuangalia tokea msimu huu uanze.
Mentality ya wachezaji wenu inaonyesha kabisa hawa wameingia kushindana sio kushiriki kama Nyumbuz na Wauza matikiti wa London.
 
Mkuu arsenal2004 vipi ushamtafuta Labyrinth 84 aje ukuelezee imekuwajekuwaje matokeo ya mechi yao na PSG?
Si tumeangalia mpira wte jana mkuu....wamecheza bolu wameshinda ndugu zetu....kwa sasa tunasubiri mpk mechi za mwsho tuone kubwa jinga ni nani na dogo janja atakuwa nani...ila Manunu nyie mjiandae tu kwnda Ueropa kuzugazuga kule na kina Liverpool....focus yte kwa sasa ni j2 dhidi ya City....wale mabraza sijui tutawaambia nn siku hyo maana tuna kesi nao kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…