I said so,nasikitikakusema kuwa wanaweza kulimwa goli tano leo.Man U ni a very young team,full of energy,kama wasipofight back watalimwa na kuwa embarassed.
RVP katuangusha kabisa hapa........ Young kascore from such a long distance with a bunch of players in btn...... Yeye na Kipa kashindwa.... At the end wachezaji hao hao wanalalamika timu haichukui vikombe.... wanasahau penalty walizokosa.......
Arsenal wanatakiwa waspend pesa,Wenger aache ujinga.Tizama sasa Chicharito huyo licha ya Welback kuumia,hawana shida,na pengine chicharito atafunga ili kutaka kupreserve nafasi ambayo Welbeck ameichukua kwa muda sasa.