Kumkosa Martinelli Ni pengoMsimu huu hii ni game kama ya 3 hivi natizama kuna vitu naona vimenitia hofu.
Arsenal hii sio ile ya kutengeneza nafasi ndani ya box za kutosha, tunakuwa tunazunguruka zunguruka tu nje ya box. Ule msako msako hakuna, pressure ya kulisakama goli la mpinzani hakuna.
Arterta alikataa pesa za Chelsea kwa smith rowe, mbona hamthamini, haoneshi sababu ya kumgomea kumuuza kama anavyoonesha why alimnunua kiazi KAI.
Saka kaumia juzi leo kampanga tena, ampumzishe kijana.
Yule HOJLUND ni mchezaji mzuri, shida ipo kwenye timu(Manchester).
Ni bonge la striker.
Teh hag hawezi ifikisha man u nchi ya ahadi na hivi vizee,
Watu mihemko tu aisee,Kwahiyo Raya hajui kudaka?
Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?
Nobody cares kuhusu nyumbu, nowdays nyumbu kupigwa ni Jambo la kawaida
Ila akipigwa arsenal ni habari ya kutikisa jiji
Wale jamaa hata Arteta alisema Ni wagumu, but najua Emirates tukiwakosa Sana 4timu imecheza vizuri japo matokeo si mazuri.. lens kocha wao kafanikiwa kwa namna timu yake alivoi set kucheza na arsenal.
Kai akipata mpira anawaza apeleke sehemu moja tu, pembeni kushoto..why alimnunua kiazi KAI.
Kwahiyo Raya hajui kudaka?
Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?
Kwa hiyo mna wazo la kumfunga City...akili ya KENGE bana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri hapa Jf risiti zinahifadhiwa vyema , comment Yako hii inanikumbusha msimu ulioisha baada ya Arsenal kuanza kupata dare mfulilizo ukatoa uchambuzi kuwa Liver ana mpira wa kuvizia atakandwa pale pale Anfield ,na Man City atakandwa vile vile kisha baada ya kutoka yaliyotokea ukala kona sasa ngoja na hii tuitunze.Point 15 zipo pale pale
Kufungwa Leo Ni bahati mbaya tu
Lens Emirates anakuja kula kipigo
Sevilla anaacha points 6
Anayebisha ajitokeze hapa,sisi sio manjesta
Wangeongea sana wajinga hao, Bora tumefungwa kuwe na amaniNi aibu kujifananisha na nyumbu ,hao hawana timu
Kwahiyo Raya hajui kudaka?
Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?
Kai ni 0 tukim ², tukimzidisha kwa 10 vyovyote vile, hakuna kitu, hata tukim differrentiate, ni BUYU tu 😂🤣 anahitaji mabadiliko makubwa saana, bora nafasi yake acheze smith roweKai akipata mpira anawaza apeleke sehemu moja tu, pembeni kushoto..
Mwenzie Xhaka alikua akipiga hadi V-Passes ndo mana alikua akitengeneza assists nyingi.
Hapa kwa Kai tutakesha siku nzima kumuelezea.
Maneno ya mkosaji haya mkuu[emoji1783][emoji1783]...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Labda humpendi tu na una sababu zako.Goli la kwanza he had a chance. Sio leo tu huyu Raya simuelewi, tutarudi hapa huko kushuhudia wote mkitoa ushuhuda.