Mimi sina wasiwasi nafahamu huu ni msimu mgumu sana ila lolote linawezekana.
Hapa Tripoli jamaa wa TNC bado wanazungumza na wazee wa Mji wa Sirte ambako Gaddafi amezaliwa ili waweze kuingia kwenye mji huo.
Internet inafanya kazi na bomba la mafuta ambalo linatambaa hadi Italy nao limekwishatengezwa na hawa jamaa.
Sasa mkuu ukisikia kuchanganyikiwa kwenyewe ndiyo huku! sisi hapa tunadiscuss mambo ya Arsenal na game yetu ya leo
wewe unatuletea habari ya Libya na waasi. Ndiyo maana nikasema hii timu imefanya baadhi ya watu wachanganyikiwe ikiwemo wewe.
Anyway hata hivyo ahsante kwa kutujuza habari za Libya. Je wewe uko upande wa waasi au dictator Gadaffi?
:msela:
Lakini sasa mkuu hao wachezaji watapatikana lini na days zinaisha hivyo??na ina maana mkisema kwamba mbaki na hicho hicho kikosi je kuna uwezekano wa kumaliza top 4??
Sasa Wenger kesho atakuwa ameshikilia mwenyewe kitabu chake cha hundi. Anakwenda mwenyewe kuzungumza na David Moyes meneja wa Everton kwamba anamhitaji Mikael Arteta ambae ni midfieder kwa kuwapa Nicklas Bendtner.
Mikael Arteta.
Hio inaitwa swap deal.
Mchezaji mshambuliaji wa Monaco ya France Park Chu-Young
yupo London akimalizia medical yake baada ya Wenger kuwasiliana na Monaco ambako aliwahi kufundisha juu ya mchezaji huyo. Inaelezwa
Halafu baadae atakwenda kuzungumza na Bolton na kumalizana juu ya Garry Cahil ambapo Bolton wanataka kuuza ila wanataka milioni 17 paundi. Wenger anasema anataka kuwapa 15 milioni ikijumuisha mambo mengine kama namba na mechi atakazocheza Gary.
Gary Cahil anataka kuchezea Arsenal.
Watu wanafahamu kwamba Arsenal msimu huu wa usajili imekusanya milioni 70 kutokana na kuuza wachezaji wake kwahio ni lazima wagharamie.
Aminia mkuu pole pole tu kila kitu kitaeleweka ila ndio siku zimebakia chache sana kwenu na pressure juu ili kuweza kukamilisha kila kitu.....
Mkuu mimi ni Arsenal.
Ukiwa mpenzi wa timu huwezi kushawishika na ushauri kama huo wa kwako.
Mimi ni mpenzi wa Arsenal kwa miaka 20 sasa.
Team news:
------------------------------------------Sczeny---------------------------------------------------------
----------------Jenkison-------Djouro ------------Koscielny-----------------Traore-------------------
------------------------Coquelin---------------Ramsey-----------Rosicky---------------------
------------Walcoltt----------------------------------------------------Arshavin---------------------------
---------------------------------------RVP-------------------------------------------------------------------
Kocha kweli anazeeka vibaya,Vermaelen na sagna nje duu sio mchezo
Team news:
------------------------------------------Sczeny---------------------------------------------------------
----------------Jenkison-------Djouro ------------Koscielny-----------------Traore-------------------
------------------------Coquelin---------------Ramsey-----------Rosicky---------------------
------------Walcoltt----------------------------------------------------Arshavin---------------------------
---------------------------------------RVP-------------------------------------------------------------------
Mkuu naona hapa hebu tupe mawazo yako zaidi kabla ya mechi..........
Arsenal hawana utajiri wa wachezaji,kukosekana kwa kwa Song lazima pengo litakuwa kubwa sana,Anderson,Nani na Cleverly have no match.