Na kweli johg ni master press😂😂😂😂Saka alikuwa hajui Joj huwa hafanyiwi pressView attachment 2760546
Hapana kafanya maamuzi ya haraka sanaRice was off form, leo wachezaji wengi hawako fit. Nketiah angepumzika aingie Nelson
Leo Arteta kajipiga vidole mwenyeweJorginho kidogo asababishe goli la tatu