Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiangalia benchi letu huoni sub ya kushtua moyo.

Jesus yupo kati na Nketiah wing. Mid Bissouma nakumbuka alivyowahenyesha nyumbu anafanya nijiulize kama na leo atakua na same quality.

Maddison ni long shot merchant ataambaa ambaa na mpira kisha utashangaa kashut something ambacho kwa Arsenal asipofanya Odegaard waliobaki wanaogopa.

Wana forward nzuri, kuanzia Kulusevski mpaka lwa Son, nafikiri wataopt kutaka kufanya total domination kwakua kuna wachezaji wawili hawapo. Wakiopt hivyo itakua fair tuklascore early goals kama mechi ya kwanza msimu uliopita.

Jesus ni msumbufu, na natarajia atagawa challenge nzuri tu kwa wakina Romero.
Hapo kati kuna bissouma na sar kuna kitu cha hatar kitaenda kutokea leo

Kuna jamboa la supersub lipo leo either kwa yeyote
Arsenal kai
Spurs Richardson
 
Nakumbuka uliwai kusema, tuwe na chambuzi before game halijaanza

Safi Sana mkuu
 
Hapo kati kuna bissouma na sar kuna kitu cha hatar kitaenda kutokea leo

Kuna jamboa la supersub lipo leo either kwa yeyote
Arsenal kai
Spurs Richardson
Richarlson ana mechi ngapi za Spurs ana magoli mangapi?

Kacheza derby ngapi kafunga magoli mangapi?

Huyo simhofii
 
Naona game ya Leo asilimia kubwa ni pale mido

Kwa upande wa arsenal Rice ndio kiungo mkabaji, ubora wa rice ubora wa arsenal

Jesus na Nketiah ni wazuri Sana kwenye pressing, na uzuri Wana pressing with high pressure

Chemistry ya timu ipo vizuri ila Spurs wao ligi wameanza vizuri huo ndio utofauti

#COYG
 
Mna weak starting lineup leo
 
Back
Top Bottom