Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo beki aliyejifunga ndiye walimuweka nafasi ya Gabriel kwenye combined XI
 
Nketiah atoke aingie Emile.

Emile akae kushoto.

Jesus arudi kati
 
Hatujui kupress advantage.

Udogie kashaogopa.

Saka anatakiwa aendelee kumsogelea kadri anavyoweza badala yake timu inalala
 
Ni rahisi kuona goli la saka.

Ila unaweza usione poor movement ya nketiah. nafikir Kama isingetokea mpira kumgonga beki wa tot unaona kabisa ile cross na uzuri wake ilikuwa inapotea.pale nketiah au jesus walipaswa kuwepo eneo la kushoto la goli kwa karibu ili ku tap-in na kupata goli.

Mech kama hizi kila chance inayopotea ina malipo
 
Holjburg richardson wapo njee kipindi chapili damu zitamwagika

Nilisema leo hamna clean sheet
 
Back
Top Bottom