Ukiangalia benchi letu huoni sub ya kushtua moyo.
Jesus yupo kati na Nketiah wing. Mid Bissouma nakumbuka alivyowahenyesha nyumbu anafanya nijiulize kama na leo atakua na same quality.
Maddison ni long shot merchant ataambaa ambaa na mpira kisha utashangaa kashut something ambacho kwa Arsenal asipofanya Odegaard waliobaki wanaogopa.
Wana forward nzuri, kuanzia Kulusevski mpaka kwa Son, nafikiri wataopt kutaka kufanya total domination kwakua kuna wachezaji wawili hawapo. Wakiopt hivyo itakua fair tukiscore early goals kama mechi ya kwanza msimu uliopita.
Jesus ni msumbufu, na natarajia atagawa challenge nzuri tu kwa wakina Romero.