Wameshaambukizwa undondocha na kaka zao...hii ni fedheha kwakwliJack Wilshere na vijana wake wanaua nyumbu huko
Dk 40 had Sasa
4-0
Nanweri hayupo atakuwa bench kesho kwenye senior teamView attachment 2759459
Hivi aaron arsenal aliendaga wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora umwambie mapema kabisa ndugu yetu Masingeli, maana hua anapenda kuchukulia mambo kiurahisi rahisi na kuwaaminisha watu vitu ambavyo hata yeye mwenyewe hua hana uhakika navyo, halafu mambo yanapoenda ndivyo sivyo analikimbia jukwaa na kuwaachia msala wenzake humu ndani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu kuwa ujui ndo yule bwana hm77 vipigo vikikolea ndo ukimbia ID hii kwenda ID nyingine [emoji16][emoji16]Hivi aaron arsenal aliendaga wapi
Aaron arsenal ndio Masingeli mwenyewe, baada ya kuwalisha matango pori humu members wenzake kipindi kile cha usajili wa Mudryk alivyobebwa na Chelsea likamshuka akaja kudanganya humu kaibiwa simu hivyo hataonekana tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Masingeli ana utoto mwingi sana aiseeeee.Hivi aaron arsenal aliendaga wapi
Aisee nyie watu mbona tunapakaziana SanaAaron arsenal ndio Masingeli mwenyewe, baada ya kuwalisha matango pori humu members wenzake kipindi kile cha usajili wa Mudryk alivyobebwa na Chelsea likamshuka akaja kudanganya humu kaibiwa simu hivyo hataonekana tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Masingeli ana utoto mwingi sana aiseeeee.
Aisee nitake radhi Mimi sikimbii ,huwa nawaacha mpige kelele tu,Mkuu kuwa ujui ndo yule bwana hm77 vipigo vikikolea ndo ukimbia ID hii kwenda ID nyingine [emoji16][emoji16]
Muongo ,Mimi Ni brand na hii hamis77 nikampuni tupo wengi ,Ni brand ya wachambuzi nguli tuAcha bhasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Masingeli kukosena kwa Masebene pale unyumbuni timu imeyumba sana, yule jamaa pamoja na mapungufu yake ila uwepo wake uwanjani hua unasaidia sana, hata nyinyi mlipata jeuri ya kutufunga baada ya masebene kutolewa na hii inajirudia hata msimu ulioisha mambo yalikua hivihivi ni vile Mayai7 tu anapenda kukaza fuvu, Ila Masebe kwenye timu yetu ni kama centre bolt akikosekana lazima gari ilale upande mmoja.Aisee nyie watu mbona tunapakaziana Sana
Kucheza na Burney Leo tayari mshajionana point 3 ,tayari mna hati miliki ya kuvamia humu na kubwabwaja
Huyo Havertz anafanya nini hapo?Nasikia Trossard kaumia
Predicted lineup for tomorrow:
Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Rice
Vieira
Ødegaard
Saka
Havertz
Jesus
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa tutorial wake Ambangile.Muongo ,Mimi Ni brand na hii hamis77 nikampuni tupo wengi ,Ni brand ya wachambuzi nguli tu
Mbona Trossard nimemuona mazoeziniNasikia Trossard kaumia
ID yako ya Aaron ndiyo imekaa kiuchambuzi nguli hii ya MC hamis imejaa mipasho😂Muongo ,Mimi Ni brand na hii hamis77 nikampuni tupo wengi ,Ni brand ya wachambuzi nguli tu
Kama kaumia basi mchezaji wa kucheza eneo la pembeni ya uwanja tena akatoa impact kubwa ni Nelson hao wengine Arteta asilazimishe lazimishe tuNasikia Trossard kaumia
Predicted lineup for tomorrow:
Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Rice
Vieira
Ødegaard
Saka
Havertz
Nelson sio mzuri akiaanza kwasababu anashambulia kwa kasi mno sasa dakika 90 ni nyingi kwa uchezaji wake .....Kama kaumia basi mchezaji wa kucheza eneo la pembeni ya uwanja tena akatoa impact kubwa ni Nelson hao wengine Arteta asilazimishe lazimishe tu